Hivi leo ni Public Holiday?

🤣 😅
Wafanyabiashara na wanasiasa na kilimokwanza yao wameharibu maana ya 88
Hapana, 88 inaonyesha zaidi zana za kilimo na mashine mbali mbali. Sie wafanyabiashara ndogondogo zisizoeleweka tunafanya kunogesha maonyesho
 
Hapana, 88 inaonyesha zaidi zana za kilimo na mashine mbali mbali. Sie wafanyabiashara ndogondogo zisizoeleweka tunafanya kunogesha maonyesho
kwahiyo lazima watambue bidhaa zenu ndogo ndogo?
 
Sie wafanyabiashara ndogondogo zisizoeleweka tunafanya kunogesha maonyesho
🤣😅
Umenikumbusha mzee wa niguse ninuke alivyojitosa kunogesha uchaguzi mkuu 2020
 
Back
Top Bottom