Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,847
- 2,768
Hivi leo ni public holiday au, naomba ufahamu maana mambo ya nchi hii sometimes ni wali na kabichi
Tafuta pesa achana na mambo yasiyokuhusuHivi leo ni public holiday au, naomba ufahamu maana mambo ya nchi hii sometimes ni wali na kabichi
Naomba tujikite kwenye swali pleaseTafuta pesa achana na mamabo yasiyokuhusu
Ahsante ndugu yanguNi public holiday leo
hahahaTafuta pesa achana na mamabo yasiyokuhusu
Nasikia 8.8.2021 imefutwaLeo ni Jumatano tarehe 7/7/2021
Unaweza kuta upo njiani kumpeleka mtoto shuleAhsante ndugu yangu
Ni confirmed? Nahitaji sana kupata taarifa za uhakikaNasikia 8.8.2021 imefutwa
Nimetafuta huo uzi humu nimeukosa, ila umoNi confirmed? Nahitaji sana kupata taarifa za uhakika
Hahahahahah yani nashangaa namwambia dogo leo huendi shule ananijibu leo sabasaba hakuna shuleUnaweza kuta upo njiani kumpeleka mtoto shule
Mmmmmmh hii maana yake nini sasaNasikia 8.8.2021 imefutwa
Kangekuwa katoto kadogo ka nursery hakajui lolote ungeshampeleka 😀😀Hahahahahah yani nashangaa namwambia dogo leo huendi shule ananijibu leo sabasaba hakuna shule
Wanatuangusha sana wafanya biashara..what happened to uchumi wa viwanda?Nimetafuta huo uzi humu nimeukosa, ila umo
Acha kabisa mpk nawaza kwani mitaala yao imebadilishwa watoto ni jpili tu ndo wanapumzikaUnaweza kuta upo njiani kumpeleka mtoto shule
Katoto kenyewe kako KG 1, hizi shule siku hizi tuna walimu wavivu sana wa kazi inaonyeshaKangekuwa katoto kadogo ka nursery hakajui lolote ungeshampeleka
Huko wameenda??Acha kabisa mpk nawaza kwani mitaala yao imebadilishwa watoto ni jpili tu ndo wanapumzika