Wapendwa habari za leo. natumai kwa mapenzi yake mungu mu wazima wa afya. Nawaulizeni hivi leo hii ikitokea umeulizwa na mkeo/mpenzi wako/mmeo swali hili utajibu wangapi? "HIVI MME/MKE/MPENZI WANGU HUKO NYUMA KABLA YA KUWA NA MIMI ULISHAKUTANA NA WATU WANGAPI KATIKA MAHUSIANO NAO KIMAPENZI?" jamani nawaombeni tulijibu hilo swalizuli. karibuni uwanja upo wazi.