Hivi Laana ni nini?

Tuendelee kueleweshana mkuu, hii Laana haieleweki kabisa.
 
Tubu mapema ww na uombe msamaha haraka sana kwa ulie/ulio wakosea kabla kiama hakijabisha hodi mlangoni mwako.
Haishauriwi kulaani ila kwa wale watu wa Mungu wanaweza ila sio vzuri... kwa maana hakuna aliemkamilifu so ni bora kusamehe na kutenda mema zaidi...
Mungu pekee ndie anaepaswa kuhukumu!

Laana ipo na inafanya kazi vizuri tuu iwe unaamini au huamini.
 
Laana ni nini?!ipo wapi na inafanyaje kazi
 
Laana ni nini?!ipo wapi na inafanyaje kazi
Kama uliwahi mdhulumu mtu basi na ww utalipwa kiaso hicho hicho ulichodhumu, inaweza kuwa sawa sawa na dhuluma uliyofanya au adhabu ikaja kwa njia nyingine.

NB:Laana inatoka kwa Mungu.
 
Kama uliwahi mdhulumu mtu basi na ww utalipwa kiaso hicho hicho ulichodhumu, inaweza kuwa sawa sawa na dhuluma uliyofanya au adhabu ikaja kwa njia nyingine.

NB:Laana inatoka kwa Mungu.
Hahaha laana ni adhabu?! Sasa kwanini inaitwa laana?!
 
laana ni mtazamo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…