Hivi Laana ni nini?

kwani nguvu chanya na hasi ni zipi na zipi mkuu..hebu tohoa hapa ..nakuhusu laana kukifikia kizazi chako ..mkuu nadhani wajua suala lakuhusu vinasaba vya damu vinavyofnya Nazi ktk mwili wamtu ..ndio maana wakuta kuna watoto hufanana mpaka Tabia ambazo walikuwa nazo wazazi wao utotoni .mbona huoji kuwa huo nao niuonevu
 
Mkuu...

Nitaelezea kidogo Kuhusu laana kwa mujibu wa wanasaikojia!

Laana ni Ww kutokana na matendo yako, the way unavojisikia Baada ya kufanya kitu kibaya Hiyo Ndio laana yenyewe!

Mfano, Unafika mahali unamgonga mtu na gari then unakimbia, Ile guilty/hukumu unayoisikia ndani mwako, Ndio laana yenyewe!

Laana ni matokeo ya dhambi anazofanyq mwanadamu, laana haitoki nje ya Ww, ni Ww mwenyewe ndie Unajipa laana!

Ukifanya kitu kibaya, Ile guilty/laana huwa inaaanza kutafuta mahali pa kutua, itabakia kwako mpaka utakapoamua kutubu, once ukitubu (sio lazima utubu direct kwa uliemkosea!) Basi laana huondoka pale pale, Mhimu ni kutubu kwa nia moja!
 
Kumbe hii karma/mikosi ndio laana na hutolewa na mungu?! Huyu shetani kwanini tuna muhusisha na mabaya, ukifukuzwa kazi eti shetani, kumbe mungu kajibu mashitaka ya watu.
mkuu laana haitoki kwa mungu tu pekee hata shetani anaweza kukutandika laana ..kwa mfano umeamua kujiunga na mambo yakishirikina ili ujipatie mafanikio katika jambo/mambo Fulani
kisha baada ya mafanikio yako ukaanza kumletea nyodo huyo shetani nakuamua kukaidi makubaliano yenu ..KIFUATACHO HAPO ITV NI ISIDINGO
 
Hivyo wale wazee wapatao Pakinson au Alzheimer diseases ni laana ile au nakosea?! Vipi kuhusu kuomba toba/msamaha kwa dhambi/makosa uliyotenda unamuomba mungu au uliyemtendea?! Na ikiwa laana inaambukiza vizazi vingi, mimi au mtu aliyelaanika kutokana na dhambi za babu anafanyaje kujinasua na laana au hii karma?!
Je kuna kinga/chanjo au prophylaxis/prophylactic preemptive precautions za hizi laana au karma?!
Yaani kujikinga na madhara ya hizi karma?!
Nitajuaje nimelaanika kupitia baba/mama/bibi/babu ikiwa hatujuih dalili au siku hizi laana au karma kuanza kutokea?!
 
karma inaweza ikawa Njema au kinyume chake...ila Laana ni negative Karma.

kuhusu kupig kizazi mpaka kizazi nadhani ni zao la nature tu ni kama mambo ya DNA .
 
kumbuka jambo MOJA,kufa ni Lazima.
Na kifo kina sababu nyingi sana,mojawapo ni sababu isio elezeka.
 
kumbuka jambo MOJA,kufa ni Lazima.
Na kifo kina sababu nyingi sana,mojawapo ni sababu isio elezeka.
lakini Tayari huyo CIA ameshatoa ushuhuda wa jinsi alivyoweza kusbabisha kifo kwa Bob..kwamba alimpatia zawadi ya simple yenye kipini chenye virus wa cancer ambacho kikihifadhiwa ndani ya kiatu ..na baada ya bob kukijaribu hcho kiatu akajichoma nalengo likawa limetiamia...
so bado unalakusema zaid mkuu
 
Ubaya au dhambi ni nini?! Ikiwa nimedhamilia kukugonga na dhamira yangu ikatimia nafurahi. Ikiwa nimedhamiria kukuua na ikatimia nikakuua nitafurahi na ikiwa nitafurahi hiyo siyo laana kwa maaana yako kwamba laana ni vile utakavyojisikia au ile guilt cautious, nilidhani ukitubu kwa uliyemkosea mungu huona dhamira yako na kukusamehe au napaswa kutubu kwa mungu?! Vitabu vinasema kitubio au toba nzuri ni kuomba msamaha kwa uliyemkosea kwamba mungu hukusamehe pia?! Lakini wewe umesema utubu kwa nia njema sio kwa uliyemkosea sasa unatubu kwa nani?!
 
mtoa mada kwanza ykupasa utambuwe kuwa sio kila mabalaa yanayomfika mtu katika maisha yake basi huwa ni sbabu ya laana .mabalaa mengine humfika mtu kutokakana na mifumo tuliyonayo kimaisha .mfano nilikuwa na biashara yangu ambayo niliitafuta kihalali kabisa lakini nikawekeza mahali ambapo baadae pamekumbwa na operation ya bomoa bomoa kisha nikajikuta nafilisika kutokana nahiyo operation mwisho wa Siku na shindwa kuhandle stress then najiua ...na kuna mwingine ambaye anaandamwa na laana alipitia uwekezaji kama huo huo nilioufnya mimi akajikuta anapitia laana ktka huo mtihani kama jinsi ambavyo mimi nikipitia ..
mtazamo huo pia unakwenda mpka kwa wanaofikwa na magonjwa na kadhalika ..yaweza kuwa ni hali tu yakiafya ama hali inayosbabishwa na laana waliyoipata..
 
kumbuka jambo MOJA,kufa ni Lazima.
Na kifo kina sababu nyingi sana,mojawapo ni sababu isio elezeka.
Yes kufa ni lazima hata kiimani wanasema ukifa ndio njia yakufika kwa muumba, hata usipotenda dhambi kabisa utakufa tu. Sidhani kama kifo ni laana au?!
 
karma inaweza ikawa Njema au kinyume chake...ila Laana ni negative Karma.

kuhusu kupig kizazi mpaka kizazi nadhani ni zao la nature tu ni kama mambo ya DNA .
Sijaridhika na jibu, hii negative karma ya mungu au ya shetani na zinatofauti gani?! Karma positive(njema) ikoje, mifano please.
Je ukipata karma ya shetani unaweza kumuomba, msamaha?! Au zote negative karma ya mungu na shetani msamaha hutoa mungu?!
 
(1) hakuna kinga zaidi yakuwa smart kimatendo kimatendo ..nakuhusu kuomba msamaha yakupasa umuombe muhusika kisha umalizie kwa MUNGU ..maana haitoleta mantik eti kumuomba mungu huku yule uliyemtendea ubaya akiwa bado anaishi na simanzi ndani ya moyo wke ..

(2) aiseee hapo kwenye kujinasua kuhusu laana aliyotnda babu ama bibi nadhani suala hilo linawezekana maana kuna wngine huwa wanakwenda makanisni kwaajili yakuombewa ili waepuke laaana ya mababu zao na mabibi zao..nawengine ambao bado wanajihusisha na mambo ya mila huwa wanakwenda makwao kutambikwa ..

(3)kuhusu namna yakujua niwewe ama watu wakowakaribu wanao kuzunguka kuweza kutambua mienendo hasi ya maisha yako nakuamua kuwa shirikisha wakubwa wako waliowatangulia au viongozi wa dini kuhusu Yale yanayokuzunguka kila siku ambayo kwanamna moja ama nyingine hayana taswira njema ktk maisha yko
 
Kile kitendo cha Ww kumgonga mtu na gari then ukafurahi unakuwa tayari una laana zinazokuandama.

Kuhusu kutubu kwa uliemkosea Hiyo Inategemea na mazingira, mfano umemgonga mtu sehemu yenye population kubwa km kariakoo au posta then ukakimbia, ni ngumu sana kuja kumuona tena!

Ndio maana Kuna option either ukatubu mbele ya Mungu wako au vyovyote tu unavoweza, Mhimu ni kutubia kosa lako.

Ukisoma Kanuni za KARMA utaelewa vizuri zaidi!


Kumbuka, what goes around comes around ...this is a must,hata km sio kwako basi kwa wengine wa Karibu yako hasa watoto wako!
 
Sijaridhika na jibu, hii negative karma ya mungu au ya shetani na zinatofauti gani?! Karma positive(njema) ikoje, mifano please.
Je ukipata karma ya shetani unaweza kumuomba, msamaha?! Au zote negative karma ya mungu na shetani msamaha hutoa mungu?!
Hapa sijazungumza kwa mrengo wa kidini ndugu yangu.
Nafikiri tendo baya au Jema halina dini.
kuhusu dini watakuja kukujibu wenye dini zao.
Ukipanda wema Utavuna Mema,ukipanda ubaya utavuna ubaya!
Mungu yumo ndani yetu sote na hana wala hajawahi kuwa na dini.
Kuhusu shetani watamzunguzia vema wanaomjua.
 
Lakini hii haijibu swali laana ni nini na hutolewa na mungu au shetani au nani?! Bomoabomoa ni athari za kibinadamu ni tofauti na tetemeko la ardhi au radi au kuliwa na simba.
Je nani ana qualify kutoa laana?! Mungu, shetani, bibi, babu, mama,baba mimi au nani?! Je ugonjwa mi laana pia?! Au magintude ya ugonjwa ndio laana?! Hizi man made na natural catastrophic events zote ni laana au what is laana?!
 
Asante, hii kuwashirikisha wakubwa na hawa ndio hulaani ukiwakosea, wakubwa hutoa laana?! How?!
 
Asante kwa majibu yako, mimi niuliza general ingawa niliweka dini lakini labda sikujua au sikuwa na namna nyingine ya kukuuliza.
 
Nashukuru nitatafuta kanuni za karma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…