Hivi kweli wema ndio anaelekea ukingoni?

Wema uko sawa usisikilize ya watu chapa Kazi siku zote umekuwa kielelezo cha wanawake wa kitanzania walivyo kwa Sura umeongeza thamani katika maumbo ya mabinti wa kitanzania hakika yawezekana uliumbwa na mungu tayari akiwa ameshamufukuza Shetani Yaani kwa kifupi hakuwa na Stress
 
Wema ashakwisha huyo na anaungana na mwenzake Ray C.

Mi tatizo hili la kufanganywa na umri mnalo wasichana wengi..na siku hizi limeota mizizi kwa mabinti.ambao waki kwenye early and mid 20's.Dhana ya kufikiri utakuwa hivyo ulivyo miaka yote ndo linawagharimu. Hata itokee umueleze binti wa umri huu ninaozungumzia kuhusu kuwa makini na umri atageuka,akuangalie na kusonya. Issue inakuja yanapotimia yale uliyokuwa ukimueleza...wengi hutamani kirudisha majira nyuma na kirekebisha makosa yao lakini ndo hivo haiwezekani. Kila kitu kina wakati wake.Tusaidie kuwa change agent kwa hawa mabinti wetu maana hata anayeona yaliyompata dada yake hufikiri ye hajaumbiwa hayo ila ni kwa wengine.
 
Wema uko sawa usisikilize ya watu chapa Kazi siku zote umekuwa kielelezo cha wanawake wa kitanzania walivyo kwa Sura umeongeza thamani katika maumbo ya mabinti wa kitanzania hakika yawezekana uliumbwa na mungu tayari akiwa ameshamufukuza Shetani Yaani kwa kifupi hakuwa na Stress
Sawa muhenga
 
Keshafika ukingon zamaaan. Aliendekeza sana marafiki huku akidharau ushauri wa mama ake
 
reality ana rangi 4 tofauti mwilini,,blue ,,nyeusi,,kijani na nyekundu,,,hyo ni make up tu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom