HIVI KWELI WASANII KAZI ZAO ZINAWEZA DHIBITIWA NA TRA??!!

BOB LUSE

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
3,738
3,198
Wadau.nilisikiliza hotuba ya Rais akiwa na Wasaniii/wanamziki na vikundivingine vilivyomsaidia katika kampeni.akijibu kero za wasanii za kazi zao zinavyochakachuliwa sokoni,aliagizaTRA
wadhibiti hilo tatizo.is it realistic?/kweli TRA Wanaimudu hii kazi peke yao?
Binafsi naamini hili tatizo lingefanyiwa uchunguzi wa kina wa kisayansi kupendekeza njia bora za kumaliza kero hii ya mda mrefu.badala ya kauli nyepesi kama ile ambaye haikuwahi kupata ufumbuzi huko nyuma.
Pia najiuliza hawa wasanii walivyotapakaa kama nzige hapa mjini na maisha yao ya kuigiza badala ya uhalisia hawajui kweli mchawi wao.ni nani? kwanini wasimwambie Rais namna nzuri ya kutatua tatizo lao, baada ya wao kufanya utafiti wanamwacha mwanasiasa anatoa ufumbuzi kwa anavyoona yeye inafaa,wao wanapiga makofi tu!.
wasanii amkeni serikali ya JPM inawezo wa kubadili maisha yenu mkishikamana nayo mkimpelekea mezani namna ya kutatua shida zenu.
 
Back
Top Bottom