Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,843
- 43,300
Wana jamvi wasalaam!
Katika kile kinacho onesha kuwa serikali ya awamu ya tano kupambana uharamia wa kazi za wasanii! Leo hii Mh Magufuli akiongea na makundi tofauti ikulu wasanii wakiwemo amewaagiza TRA kufanya operation maalum kukamata kila kazi isiyo na sticker ya TRA original!
Wasanii wamekuwa wakilalamika kazi zao kuibiwa na waharamia ..pamoja na mambo mengine Rais Magufuli ameahidi kutatua kero zao zote zinazo wakabili kwani walianza pamoja na lazima wamalize pamoja!
Huu ni mwanzo mzuri sana wa serikali kushughulikia matatizo yanayo wakabili wasanii! Tunajua matatizo yao ni mengi hilo la sticker ni moja tuu lakini pengine likianza hili litatoa mwanga!
Tuzidi kumuombea Rais wetu!
Source: ITV