[quote uid=233335 name="REALITY" post=19155526]maana hata ile hamu ya kuwa mke wako leo sioni wengi washavunjwa,wengi wanalelewa na mitandao,mavazi ndo watajua na nafsi zao na kingine kumwaga radhi ndo kila kona mitaani ,media,makanisani and etc mi nahisi kuwe na tume ya kuchagua wife material na kuweka kwenye list ili nijue pale ndo naanzia kutafiti[/QUOTE]<br />wanaume wa kawaida hukutana na wasichana mapepe mwisho hulaumu... wanawake wapole hukutana na wavulana viwembe mwisho hulaani... hivyo mlinganyo unaopatikana jinsia zote mbili huona kama wenzao wakosefu na kuanza kupitia njia zisizopendeza kwa kueneza visasi kwa wasio na hatia... ZINGATIA; wasichana wema wapo halikadhalika wavulana, tatizo ni suala la muda na uchaguzi muafaka, maana "hakuna aliezaliwa na ubaya".. Mchango wa mwanajamiiforum fulanifb ndo kuna wavulana na wasichana mkuu
Safi.wavulana wa kawaida hukutana na wasichana mapepe mwisho hulaumu... wasichana wapole hukutana na wavulana viwembe mwisho hulaani... hivyo mlinganyo unaopatikana jinsia zote mbili huona kama wenzao wakosefu na kuanza kupitia njia zisizopendeza kwa kueneza visasi kwa wasio na hatia... ZINGATIA; wasichana wema wapo halikadhalika wavulana, tatizo ni suala la muda na uchaguzi muafaka, maana "hakuna aliezaliwa na ubaya".. Mchango wa mwanajamiiforum fulani
Umenena.chanzo cha yote haya ni vile vijanaume ambavyo huendekeza sana kichwa cha chini na kusahau kuwa wana vicha halisi ambavyo vina TetraBite zaidi ya 500000, mwanamke huenenda na mazingira anayovutiwa mwanaume, hivyo hivyo kwa mwanaume japo si kawa kiwango kikubwa. ili wanawake wawe wazuri lazima mwanaume awe mzuri kwanza, na mahitaji yake yawe ya stara. huwezi kukuta MWANAUME ana "bora mwanamke"