James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,205
- 1,509
Kwa huu mjumuisho utafiti wako si sahihi...Mikoa ya bara hasa kama Mwanza, Shinyanga, Tarime, Iringa na Mbeya wanawake huwa na tabia za kufanya kazi za shurubu kama wanaume. Pia wanawake wa mikoa hii huwa ni wakakamavu sana kwahiyo usitegemee maneno matamu na lugha laini!
Uko sawa kabisa, waarabu waliacha mila na desturi nyingi ukanda wa pwaniUlishakutana na wanawake wa kikurya hawako romatic kabisa , ukija kwa dada zangu wa kisukuma wengi wao ni pasua kichwa hawajui lolote zaidi ya kujaliwa shape hawajui hata kushika mike , yaaani wapo wapo kitandani kama magogo ila dada zangu wa pale TABORA WANYAMWEZ SHUGHULI YAO sio ya kitoto .... Maeneo yaliyokaliwa na waarabu nadhani walipata maujuzi na tamaduni za kiarabu tofauti na kanda ya ziwa naunga hoja mkuu
sent from HUAWEI
Haha, hilo nalijua fika ndio maana niliandika kama ukimpata mwanamke wa Tanga aliyetulia kwani najua wako pia na walaghai!Kuna watu wanaigiziwa wanapendwa nao wanaamin wanapendwa kweli.
Ebu angalia kama kwel wangekuwa wanawake wasio wa bara wanajua mapenz bas ndoa zao zingekuwa zinadum kusingekuwa na taraka.
Uliza hiv wanawake wa bara hawajui maigizo ya mapenzi? Tukujibu.
Hebu fanya kunitafuta bibie! Na mimi huwa napenda sana utulivu! π Nahisi tutaendana!!Ni vizuri tuanze kuulizana menu. Unasema unayotaka ufanyiwe ili nikwambie naweza au siwezi.
Wanaume wengi wanastyle tofauti, Kuna wanaopenda utulivu au manjonjo.
Wapenda manjonjo nendeni kwa wamakonde na wangoni. Utulivu. Mje kwetu wa bara. Basi
Utulivu ndo ile mnaita kusoma gazeti! Hell NO!!Ni vizuri tuanze kuulizana menu. Unasema unayotaka ufanyiwe ili nikwambie naweza au siwezi.
Wanaume wengi wanastyle tofauti, Kuna wanaopenda utulivu au manjonjo.
Wapenda manjonjo nendeni kwa wamakonde na wangoni. Utulivu. Mje kwetu wa bara. Basi
Hebu fanya kunitafuta bibie! Na mimi huwa napenda sana utulivu! π Nahisi tutaendana!!
Hapana Ile ya haste....hufanyi Kama umetuma na ukoo.Utulivu ndo ile mnaita kusoma gazeti! Hell NO!!
Hao wangoni labda una sikia tu story za watu ila in reality wapo busy sanaa kusaka pesa now daysNi vizuri tuanze kuulizana menu. Unasema unayotaka ufanyiwe ili nikwambie naweza au siwezi.
Wanaume wengi wanastyle tofauti, Kuna wanaopenda utulivu au manjonjo.
Wapenda manjonjo nendeni kwa wamakonde na wangoni. Utulivu. Mje kwetu wa bara. Basi
Njoo kwetu sisi wa bara, na utulivu wetu tunabalance mambo.Hao wangoni labda una sikia tu story za watu ila in reality wapo busy sanaa kusaka pesa now days