goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
Nimeamka salama namshukuru Mungu.Umeamkaje kwanza,
Nimeamka salama namshukuru Mungu.Umeamkaje kwanza,
Niliambiwa koromije ndiyo wenye tabia hiyo au nawe upo hivyo[emoji16][emoji16][emoji16]Weeeeeh..!! Mimi natokea mlima Kilimanjaro. [emoji23]
Embu niandike niwe bod gad wakoWeeeeeh..!! Mimi natokea mlima Kilimanjaro. [emoji23]
Amina, ngoja mida hizi tupige kazi kwanzaNimeamka salama namshukuru Mungu.
Mmoja hatoshi nataka 6. [emoji23]Embu niandike niwe bod gad wako
Wakukupandisha na tutakuwa
Tunapitia get la marangu
Me ndiyo naosha viombo hapa. [emoji23]Amina, ngoja mida hizi tupige kazi kwanza
Dhuuuuu saa zarau hz had KwaMmoja hatoshi nataka 6. [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umeamua kumuachia goldie ink hahahaaaEmbu niandike niwe bod gad wako
Wakukupandisha na tutakuwa
Tunapitia get la marangu
Ngoja nipitie hapo nikusaidie si unajua napenda kazi za nyumbani[emoji16][emoji16]Me ndiyo naosha viombo hapa. [emoji23]
Hamna siyo dharau, 6 ninawamudu vyema. [emoji23] [emoji102] [emoji125] [emoji100]Dhuuuuu saa zarau hz had Kwa
Kaka zako wa kaskazn[emoji119]
Mmmmm kila raheri angalia usisaidiweHamna siyo dharau, 6 ninawamudu vyema. [emoji23] [emoji102] [emoji125] [emoji100]
Ukiachwa achika ameamua kuapply hii " fomura ". [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umeamua kumuachia goldie ink hahahaaa
Vyombo sijaosha wiki mbili usije tu. [emoji23]Ngoja nipitie hapo nikusaidie si unajua napenda kazi za nyumbani[emoji16][emoji16]
Jeshi la mtu mmoja hapa. [emoji23]Mmmmm kila raheri angalia usisaidiwe
[emoji16][emoji16][emoji16]hahahaaaa kazi kweli nasubiri jibu lakeUkiachwa achika ameamua kuapply hii " fomura ". [emoji23]
Haaa haaa kwahiyo unarundika kama nguo [emoji28]Vyombo sijaosha wiki mbili usije tu. [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16] hongeraJeshi la mtu mmoja hapa. [emoji23]
Nguo sirundiki daily nafua ila vyombo wooi sioshi nitafutie mke aliyeachika. [emoji23] [emoji23]Haaa haaa kwahiyo unarundika kama nguo [emoji28]