goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
Nenda kolomije. [emoji23]Nimpate wapi mwanaume kama huyu
Nenda kolomije. [emoji23]Nimpate wapi mwanaume kama huyu
Uje urareMpende sana yule mwanaume anaekuzingua na kutoa hasira zake hapo hapo hao wakujifanya wakimya siku akihamua ni kisu kwenye moyo
Ngoja nitafute nauli[emoji16]Nenda kolomije. [emoji23]
Wacha weNi kweli wanaume wenye upendo kama huo tuko wachache
Hahaaa kumbe nawe ni mmoja wapo, hongera sanaNi kweli wanaume wenye upendo kama huo tuko wachache
Huko ndiko wanapatikana ngoja nitafute kibarua huko huenda nikabahatika [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nenda kolomije. [emoji23]
HahahaaHahaaa kumbe nawe ni mmoja wapo, hongera sana
HahahahaWacha we
Hakuna kubahatisha unapata fundi. [emoji23]Huko ndiko wanapatikana ngoja nitafute kibarua huko huenda nikabahatika [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Aache kupenda [emoji23]Wacha we
Utakuwa mkurya wewe. [emoji23]Uje urare
Uko kama mimi shemHahahaa
Mimi kwenye kupenda naingiaga na miguu yote kabsa kabsa
[emoji23] [emoji23] naomba uniacheUtakuwa mkurya wewe. [emoji23]
Usisahau hela ya kula kula njiani. [emoji23]Ngoja nitafute nauli[emoji16]
Ukiachwa achika. [emoji23][emoji23] [emoji23] naomba uniache
Haaa haaa angalia isije siku moja ikabaki huko ukatoka mwenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaa
Mimi kwenye kupenda naingiaga na miguu yote kabsa kabsa
tena hao ni zaidi ya mafia kulalekiAisee wanaume wa hvyo kukuuwa ni dk 1
Kabisa [emoji16][emoji16]Hakuna kubahatisha unapata fundi. [emoji23]