Jamani mwenye uhakika wa hii inshu aje anipe proof hapa kweli ukifa unaenda kupata mabikra 70?
Maana nina Usongo nao kinyamaaaa.
Jamani mwenye uhakika wa hii inshu aje anipe proof hapa kweli ukifa unaenda kupata mabikra 70?
Maana nina Usongo nao kinyamaaaa.
70 kwa kila mtu au moja mmoja katika mtu hao sabiniKila mtu ana wake nasikia mkuu
Kufa kwanza halafu uje utusimulie kama kweli wapo au ni maneno tu ya watu.Jamani mwenye uhakika wa hii inshu aje anipe proof hapa kweli ukifa unaenda kupata mabikra 70?
Maana nina Usongo nao kinyamaaaa.