Hivi kweli tumefika huku??

Mwingine juzi tu kalizwa milioni 2 aliunda joint account na mchepuko na amezaa mtoto nje wa kiume mme naye kawadukua hivyo kwa sasa mke yupo kwao kaacha watoto watatu mme analea yeye yupo na kichanga cha mchepuko na ana maisha magumu mno.
Kweli wanaume macho mengi lakini kwa mwenendo wa sasa mtaachika sana kwa tamaa ya mapenzi.
 
jinga san ahilo...yani anatoana aache ndo kazame kwa vitu asivoweza...duh anafanya usaliti wa ndoa akidhani yuko salama n aujenzi huo bandia
 
Hizo million 25 alizokopa zingetosha kabisa kutibu tatizo la huyo mumewe na chenji ingebaki.
 
Huyo kidume KWELI[emoji123][emoji106] Alijua kuna SIKU na Yeye atasalitiwa kama alvyosalituwa mwanaume mwenziwe [emoji44] mamaa sasa VUNA ulicho panda [emoji44][emoji106][emoji33]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…