Kuna mambo mawili hapo:
1. Pamoja na kwamba wanajua ukweli kuwa hakuna ajira maana serikali imefilisika kutokana na maamuzi ya baba mtakatifu, hawathubutu kuusema ukweli huo sababu atawatupa Jehanamu.
2. Kila kitu amekumbatia yeye ikiwa ni pamoja na maamuzi ya mawaziri, hivyo basi hakuna waziri au wizara inayofanya kazi kwa utashi, ubunifu au akili zake bali kwa remote control ya pale Magogoni.