Kuna mambo mawili hapo:
1. Pamoja na kwamba wanajua ukweli kuwa hakuna ajira maana serikali imefilisika kutokana na maamuzi ya baba mtakatifu, hawathubutu kuusema ukweli huo sababu atawatupa Jehanamu.
2. Kila kitu amekumbatia yeye ikiwa ni pamoja na maamuzi ya mawaziri, hivyo basi hakuna waziri au wizara inayofanya kazi kwa utashi, ubunifu au akili zake bali kwa remote control ya pale Magogoni.
Bwashe huzuni mfupi mgumu mnoo,... Achana nao. Ukongea nao wanakwambia sio wafanyakazi Hewa tu..... Kulikuwa mpaka na maiti zinafanya kazi. Mzigo wa kusafisha Hilo dugulia unaweza kuchukua miaka yote mitano ya mukulu. Tumuombee.
Kila kitu kiko mikononi mwa Baba Mtakatifu kuanza kugawa sambusa vikaoni,kupanga kodi,kukusanya mapato na kuhesabu sarafu zetu pale hazina ivyo ni uchochezi mkubwa kuzilaumu Wizara kwa kipindi hiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.