Hivi kweli serikali inashindwa kusema ajira zinatoka rasmi mwezi fulani?


Abuwhythum

Abuwhythum

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Messages
800
Likes
421
Points
80
Abuwhythum

Abuwhythum

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2015
800 421 80
Wizara zote zinazohusika zimekosa ujasiri wa kutoa taarifa ambayo wananchi wengi wana hamu ya kufahamu jambo hili! Hadi limebaki kuwa fumbo tu!!
 
M

Massenberg

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Messages
1,173
Likes
1,089
Points
280
M

Massenberg

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2011
1,173 1,089 280
Kuna mambo mawili hapo:
1. Pamoja na kwamba wanajua ukweli kuwa hakuna ajira maana serikali imefilisika kutokana na maamuzi ya baba mtakatifu, hawathubutu kuusema ukweli huo sababu atawatupa Jehanamu.

2. Kila kitu amekumbatia yeye ikiwa ni pamoja na maamuzi ya mawaziri, hivyo basi hakuna waziri au wizara inayofanya kazi kwa utashi, ubunifu au akili zake bali kwa remote control ya pale Magogoni.
 
M

Mseti athuman

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Messages
201
Likes
142
Points
60
Age
26
M

Mseti athuman

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2016
201 142 60
niacheni niinyooshe nchi kwanza
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
58,009
Likes
55,239
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
58,009 55,239 280
Mnaambiwa nchi imefilisika hadi wachina wanakimbia , mnataka nini tena ?
 
TataMadiba

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Messages
9,789
Likes
4,259
Points
280
Age
36
TataMadiba

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2014
9,789 4,259 280
Ajira zitatoka kwa utaratibu mzuri siyo kwa kushikwa mkono na mjomba kama mlivyozoea. Kama una sifa kuwa mpole utafurahi
 
M

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Messages
2,030
Likes
3,012
Points
280
Age
34
M

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2016
2,030 3,012 280
Bwashe huzuni mfupi mgumu mnoo,... Achana nao. Ukongea nao wanakwambia sio wafanyakazi Hewa tu..... Kulikuwa mpaka na maiti zinafanya kazi. Mzigo wa kusafisha Hilo dugulia unaweza kuchukua miaka yote mitano ya mukulu. Tumuombee.
 
CHARMILTON

CHARMILTON

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Messages
6,306
Likes
9,066
Points
280
CHARMILTON

CHARMILTON

JF-Expert Member
Joined May 30, 2015
6,306 9,066 280
Sasa kama hazipo wakudanganye ?
Mkuu nchi ipo pabaya, jisaidie mwenyewe
 
Twalyaninkomi

Twalyaninkomi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2016
Messages
266
Likes
256
Points
60
Age
27
Twalyaninkomi

Twalyaninkomi

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2016
266 256 60
Hili nalo wabasubiri mkulu ndio atangaze!
Wizara hazina mamlaka
 
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
12,776
Likes
11,471
Points
280
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
12,776 11,471 280
Tumefirisika, sasa tutatangazaje
 
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
8,075
Likes
18,439
Points
280
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
8,075 18,439 280
Nchi hii kwa sasa ni MUFILISI kaka.
Kama nchi zingekuwa Zinauzwa na hii yetu ni mojawapo.
 
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
6,427
Likes
6,399
Points
280
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2013
6,427 6,399 280
Kila kitu kiko mikononi mwa Baba Mtakatifu kuanza kugawa sambusa vikaoni,kupanga kodi,kukusanya mapato na kuhesabu sarafu zetu pale hazina ivyo ni uchochezi mkubwa kuzilaumu Wizara kwa kipindi hiki.
 
L

lussa

Member
Joined
Sep 21, 2016
Messages
27
Likes
21
Points
5
Age
26
L

lussa

Member
Joined Sep 21, 2016
27 21 5
Kwa wale waliosimamishiwa ajira zao na serikali mwezi wa tano wanarudishwa lini kuendelea na kazi??
 
Griseofulvin

Griseofulvin

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2016
Messages
579
Likes
697
Points
180
Age
19
Griseofulvin

Griseofulvin

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2016
579 697 180
Jumatatu mkuu
 

Forum statistics

Threads 1,273,260
Members 490,343
Posts 30,475,692