Hivi kweli serikali inashindwa kusema ajira zinatoka rasmi mwezi fulani?

Abuwhythum

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
837
494
Wizara zote zinazohusika zimekosa ujasiri wa kutoa taarifa ambayo wananchi wengi wana hamu ya kufahamu jambo hili! Hadi limebaki kuwa fumbo tu!!
 
Kuna mambo mawili hapo:
1. Pamoja na kwamba wanajua ukweli kuwa hakuna ajira maana serikali imefilisika kutokana na maamuzi ya baba mtakatifu, hawathubutu kuusema ukweli huo sababu atawatupa Jehanamu.

2. Kila kitu amekumbatia yeye ikiwa ni pamoja na maamuzi ya mawaziri, hivyo basi hakuna waziri au wizara inayofanya kazi kwa utashi, ubunifu au akili zake bali kwa remote control ya pale Magogoni.
 
Ajira zitatoka kwa utaratibu mzuri siyo kwa kushikwa mkono na mjomba kama mlivyozoea. Kama una sifa kuwa mpole utafurahi
 
Bwashe huzuni mfupi mgumu mnoo,... Achana nao. Ukongea nao wanakwambia sio wafanyakazi Hewa tu..... Kulikuwa mpaka na maiti zinafanya kazi. Mzigo wa kusafisha Hilo dugulia unaweza kuchukua miaka yote mitano ya mukulu. Tumuombee.
 
Kila kitu kiko mikononi mwa Baba Mtakatifu kuanza kugawa sambusa vikaoni,kupanga kodi,kukusanya mapato na kuhesabu sarafu zetu pale hazina ivyo ni uchochezi mkubwa kuzilaumu Wizara kwa kipindi hiki.
 
Kwa wale waliosimamishiwa ajira zao na serikali mwezi wa tano wanarudishwa lini kuendelea na kazi??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom