Kipenseli JF-Expert Member Joined Feb 9, 2020 Posts 878 Reaction score 1,150 Jan 23, 2026 #1 Wakuu Shikamooni, mara kadhaa nimekua nikiugua na kupata maoni mbalimbali kama "MEZA DAWA" , hivi kweli Meza ni Dawa? Au wanataka kuniponza??
Wakuu Shikamooni, mara kadhaa nimekua nikiugua na kupata maoni mbalimbali kama "MEZA DAWA" , hivi kweli Meza ni Dawa? Au wanataka kuniponza??
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,265 Reaction score 14,522 Jan 23, 2026 #2 Marhabaa! Hebu fafanua vizuri kwanza hiyo meza unailamba au unaikalia?
wolverineGG JF-Expert Member Joined Feb 13, 2025 Posts 1,968 Reaction score 3,672 Jan 23, 2026 #3 Nyie ndo watu wa kufungiwa humu.
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 15,613 Reaction score 22,520 Jan 23, 2026 #4 Kipenseli said: Wakuu Shikamooni, mara kadhaa nimekua nikiugua na kupata maoni mbalimbali kama "MEZA DAWA" , hivi kweli Meza ni Dawa? Au wanataka kuniponza?? Click to expand... Nadhani upo kwenye 'utani mode' vinginevyo ni mtu ambaye hujasoma kabisa yaani ni kihiyo! Hili neno 'meza' halijafungwa katika maana moja kwenye kiswahili. Kuna 'meza' kitenzi na kuna 'meza' nomino. Kwenye kumeza dawa limetumika kama kitenzi na siyo nomino kama unavyojitidinganya! Ningelikuwa ni mwalimu, ningewalamba mboko sana wanafunzi vihiyo wenye makusudi kama wewe.
Kipenseli said: Wakuu Shikamooni, mara kadhaa nimekua nikiugua na kupata maoni mbalimbali kama "MEZA DAWA" , hivi kweli Meza ni Dawa? Au wanataka kuniponza?? Click to expand... Nadhani upo kwenye 'utani mode' vinginevyo ni mtu ambaye hujasoma kabisa yaani ni kihiyo! Hili neno 'meza' halijafungwa katika maana moja kwenye kiswahili. Kuna 'meza' kitenzi na kuna 'meza' nomino. Kwenye kumeza dawa limetumika kama kitenzi na siyo nomino kama unavyojitidinganya! Ningelikuwa ni mwalimu, ningewalamba mboko sana wanafunzi vihiyo wenye makusudi kama wewe.
BLACK_ JF-Expert Member Joined Apr 2, 2020 Posts 1,743 Reaction score 3,884 Jan 23, 2026 #5 Kweli wewe meza dawa
Kipenseli JF-Expert Member Joined Feb 9, 2020 Posts 878 Reaction score 1,150 Jan 27, 2026 Thread starter #6 wolverineGG said: Nyie ndo watu wa kufungiwa humu. Click to expand... Alaf anayeongea hivi ni member kuanzia 2025[emoji1787]
wolverineGG said: Nyie ndo watu wa kufungiwa humu. Click to expand... Alaf anayeongea hivi ni member kuanzia 2025[emoji1787]
Kipenseli JF-Expert Member Joined Feb 9, 2020 Posts 878 Reaction score 1,150 Jan 27, 2026 Thread starter #7 Black joe said: Kweli wewe meza dawa Click to expand... Meza sio dawa boss
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 52,058 Reaction score 125,915 Jan 27, 2026 #8 Kamsemee kwa babaake
itscowboy98 JF-Expert Member Joined Dec 9, 2025 Posts 668 Reaction score 1,027 Jan 27, 2026 #9 Kipenseli said: Wakuu Shikamooni, mara kadhaa nimekua nikiugua na kupata maoni mbalimbali kama "MEZA DAWA" , hivi kweli Meza ni Dawa? Au wanataka kuniponza?? Click to expand... 🤣🤣 ni jukwaa lake nilikuwa sijazoom bado
Kipenseli said: Wakuu Shikamooni, mara kadhaa nimekua nikiugua na kupata maoni mbalimbali kama "MEZA DAWA" , hivi kweli Meza ni Dawa? Au wanataka kuniponza?? Click to expand... 🤣🤣 ni jukwaa lake nilikuwa sijazoom bado
wolverineGG JF-Expert Member Joined Feb 13, 2025 Posts 1,968 Reaction score 3,672 Jan 29, 2026 #10 Kipenseli said: Alaf anayeongea hivi ni member kuanzia 2025[emoji1787] Click to expand... Tatizo ni mwaka wa kua perticipant au tatizo ni unacho perticipate??
Kipenseli said: Alaf anayeongea hivi ni member kuanzia 2025[emoji1787] Click to expand... Tatizo ni mwaka wa kua perticipant au tatizo ni unacho perticipate??