Nadhani upo kwenye 'utani mode' vinginevyo ni mtu ambaye hujasoma kabisa yaani ni kihiyo!Wakuu Shikamooni, mara kadhaa nimekua nikiugua na kupata maoni mbalimbali kama "MEZA DAWA" , hivi kweli Meza ni Dawa? Au wanataka kuniponza??
🤣🤣 ni jukwaa lake nilikuwa sijazoom badoWakuu Shikamooni, mara kadhaa nimekua nikiugua na kupata maoni mbalimbali kama "MEZA DAWA" , hivi kweli Meza ni Dawa? Au wanataka kuniponza??
Tatizo ni mwaka wa kua perticipant au tatizo ni unacho perticipate??Alaf anayeongea hivi ni member kuanzia 2025![]()