Nani asiyemjua kada wa ccm wasra!
-JPM ameshindwa kumpatia ubunge mzee wetu wasira na kumpa uwaziri. hivi kweli ccm wamesahau ukindakindaki wa wasira
mimi nilikuwa naamini wasra ndiyo ccm na ccm haipo bila wasira panga pangua uwaziri anao lakini sijui imekuwaje, au mzee wasra nae ni JIPU .
Mzee alikuwa anajiamini huyo!
2. pamoja na kusaidia kufanya yake bunge la katiba bado SAMWEL SITTA amesahaulika katika serikali ya Pombe! siasa balaa