Hivi kweli kuna bishara ya kuingiza faida kuanzia milioni 100 na kuendelea kwa siku/wiki/mwezi?

Aigle

JF-Expert Member
Jul 4, 2020
711
6,187
Wakuu tushirikishane basi hizo biashara au madili ya biashara za kuingizia kiwango hiko cha faida kwa muda tajwa, hivi kweli zipo na kama zipo tushirikishane.

Mambo ya kufanya biashara kwa mazoea ni ya kijinga, miaka nenda rudi unaulizwa unajishuhulisha na nini, mtu anajibu , nafanya biashara, miaka 5, uko pale pale husogei, unafanya tu biashara, embu tushirikishane madili ya biashara zenye mipango ya kupiga kiwango hiko cha pesa kama faida.
 
Kariakoo wauza nguo kwa jumla wanaingiza iyo ndani ya masaa.
Yani unamaanisha karikaoo Kuna biashara ya kuingiza faida ya milioni Mia kwa siku? Au masaa? Faida peke yake? Huu uongo utakussidia nini mkuu?

Labda Kama unaongelea mtu Kama Silent ocean ana uhakika wa kupiga hiyo hela kwa siku,ila siyo zile biashara za nguo,urembo na vyombo.
 
Nina rafiki yangu alikuwa anafanya kazi Aboud bus service,alisema hivi

Walikuwa na mabasi 20 yote yalikuwa yanafanya rout za dar Moro kila siku na basi moja hufanya rout tatu kwa siku kabla ya torch kuanza.

Mabasi mengi yanalipa au kuingiza fedha nyingi kupitia mizigo wanayobeba kwenye buti,hats Kama basi likiondoka bila ya abiria lakini wao hasara hawapati.Hivyo kwa pesa uliyoizungumza watu wanaingiza kwa siku mpaka wiki

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Yani unamaanisha karikaoo Kuna biashara ya kuingiza faida ya milioni Mia kwa siku? Au masaa? Faida peke yake? Huu uongo utakussidia nini mkuu?

Labda Kama unaongelea mtu Kama Silent ocean ana uhakika wa kupiga hiyo hela kwa siku.
kiongozi million 100 ndogo sana kwa wafanya biashara watu wanaingiza milioni 500 kwa siku ijekuwa iyo 100.
 
Yale maduka mazuri ya kkoo yanawachanganya sana naona. Wafanyabiashara wa kkoo pale wana siri nzito moyoni kwa jinsi wanavyopigwa na maisha, faida inakatwa kwa asilimia kubwa na kodi ya pango, plus mzigo unaeza usiishe ndani ya muda uliotegemea maana maduka mengi alaf wanunuzi wachache sikuhz
 
hapo vyupi vinachangia 20m kwa saa😂
😂😂😂😂Wapo wale wamama wanatokea iringa wakinga kama sijakosea tunashinda nao kariakoo kiukweli wanauza sana lakini si KWA M100 KWA masaa tena nguo, mkuu spare ni biashara nzuri sana na KWA faida uliyotaja naweza kukubaliana nawe ILA japo mtaji nao unabid uwe mkubwa mkubwa, ILA hili la nguo 😂😂😂 BADO nalitafakari
 
Kariakoo wauza nguo kwa jumla wanaingiza iyo ndani ya masaa.
Acha uongo wewe. Unaijua milioni 100 au unaisikia tu? Halafu unaijua milioni 100 kama faida? Kungekuwa na mabilionea wengi sana hapa Tanzania. Ina maana kwa mwaka faida ni bilioni 29 kitu ambacho hata makampuni makubwa ni ngumu sana kufikisha. Faida kwenye Jeans moja kwa bei ya jumla inachezea Tsh 2000 hadi 3000. Sasa jiulize auze jeans ngapi hadi hiyo 3000 iwe milioni 100 kwa siku.
 
Back
Top Bottom