Hivi kweli hii ni haki

Issue hapo sio kitanda tu, yaani tukio zima ni laana tupu, hata kama ungeenda kulala naye mtaroni , bado laana ipo pale pale ,

Wanando vaeni uaminifu, pete mzigo jamani
ahsante ili neno!
 
Reactions: sab
Bora aliye argue kuwa ni ni utovu wa nidham, adabu na heshima lkn nyie wa et laana mmeshindwa ku-argue logically.

Je, laana inatokeaje?
Analaaniwa aliyeleta ,aliyeletwa au wote? (aliyeletwa anaweza kuwa anajua au hajui kama u are spouse to someone)
Je, hli ndo kosa kuliko mengne yte yanayofanywa na wanandoa mpk lisababishe laana?
Anyway hv laana ipo au huwa ni matokeo ya maamuzi, na kama ipo vp nkitumia njia mbadala kujisafisha ili inihepuke?
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…