hivi kweli hawa TRA moshi wanajielewa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi kweli hawa TRA moshi wanajielewa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by One Man Army, Jun 22, 2012.

 1. O

  One Man Army JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  jamani niko hapa tra ya moshi kwa zaidi ya dakika 45 nasubiri wafanyakazi watoke kula chakula cha mchana.swali langu ni kwamba mbna matawi mengine kama dar-es-salaam wanaenda kwa shift na inasaidia kuondoa usumbufu usio wa lazima..jamani wahusika naomba mliangalie hili vizur naamini itasaidia kuboresha huduma na mapato kwa ujumla..
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ungewaeleza hapohapo, huku jf hawatakuskia kwa urahisi
   
 3. O

  One Man Army JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hata huyo mkubwa wa hapa alikuwa ameenda kwenye chakula cha mchana ndio maana nimeamua kufikisha ujumbe kupitia jf naamini huenda makao makuu watanisikia.
   
 4. mwakajila

  mwakajila Senior Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umesikika mkuu...
   
Loading...