assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
Nimejiuliza maswali sijapata majibu. Ado Sha kaongea bila interaction yoyote .
Ni kongamano la utu lililoandaliwa na nccr.
Sijapenda
Ni kongamano la utu lililoandaliwa na nccr.
Sijapenda
Usuperbrand uliondoka na tajiri yake, hapa shida watu wanawaza teuzi, hivyo wanawiwa kuyaandaa mazingira ya uteuzi, hiyo ndio tabu yenyewe , akitafakari mtu anawanza wenzangu kalashavu, Mimi na baki kuuza sura. Mnapotea mnaiua brand.Itv superbrand