Hivi kwanini?

Hivi kwanini?

Yaani hata mi mwenyewe huwa nashangaa...
1. Nikipiga chafya, basi ni tundu la kushoto tu la pua ndio uhusika.
2. Hapa nilipo sijawahi kulia na kutoa machozi kwa jicho la kulia, mara zote huwa kushoto.
3. Enzi hizo tunapewa adhabu shuleni, nilikuwa naruka kichura chura kwa mguu wa kushoto tu!
4. Tokea nizaliwe sijawahi kuoga upande wa kulia, siku zote naoga upande wa kushoto.
5. Nywele zote za mwilini za upande wa kulia sijawahi kuzinyoa, kila mara nanyoa kushoto.
6. Hivi mnajua kuwa mwenzanu usiku wakati wa kulala huwa nafumba jicho la kushoto tu.

mkuu si unakuwa kama pikipiki usiku..... ukifumba jicho moja?
 
Back
Top Bottom