Hivi kwanini?

Weera weraaaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
740
Reaction score
657
Kwanini unapoanza kutembea unainua mguu wa kushoto kwanza?
Kwanini unapovaa kiatu unaanza na mguu wa kushoto?
Kwanini kitanda kisiwekwe katikati ya chumba,kinawekwa pembeni,particularly upande wa kushoto?
Kwanini unapo chamba chooni unatumia mkono wa kushoto?
HIVI KWANINI?
 
hayo matatu inategemea na mazoea ya mtu mwenyewe kasoro la chooni limewekwa kwa kigezo cha usafi
 
Yaani hata mi mwenyewe huwa nashangaa...
1. Nikipiga chafya, basi ni tundu la kushoto tu la pua ndio uhusika.
2. Hapa nilipo sijawahi kulia na kutoa machozi kwa jicho la kulia, mara zote huwa kushoto.
3. Enzi hizo tunapewa adhabu shuleni, nilikuwa naruka kichura chura kwa mguu wa kushoto tu!
4. Tokea nizaliwe sijawahi kuoga upande wa kulia, siku zote naoga upande wa kushoto.
5. Nywele zote za mwilini za upande wa kulia sijawahi kuzinyoa, kila mara nanyoa kushoto.
6. Hivi mnajua kuwa mwenzanu usiku wakati wa kulala huwa nafumba jicho la kushoto tu.
 
Ijumaa wenzetu mmeianzia wapi leo,kwa bob marley?
 
kwangu bed imo kati ya chumba, pita naanza na mguu wa kulia ...
 

Ha ha ha!
U have made my day,nitakapo kuwa kwa PC lazima nikugongee rep power zako!!
 

Asilimia 90 ya vitu ulivyotaja natumia mkono wa Kulia..
 

Thats my daddy!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…