Hivi kwanini?

Sebali

Member
Apr 24, 2011
38
1
Hivi ni kwa nini wanawake waliopata nafasi ya kupata elimu zaidi wengi wao wanaongoza kuwa na tabia zisizo nzuri za kimaadili, kama vile mavazi yasiyo ya kimaadili, umalaya. Hatimaye baadhi ya wanaume wameshasema hawataweza kuoa wanawake waliosoma elimu za vyuo vikuu kutokana na wengi wao kuwa na tabia mbaya wanapokuwa katika jamii. Je jf mwasemaje juu ya hilo?
 
Kama ujafanya research nakushauri ufanye research kwanza, na mara nyingi sio wote wenye tabia hizo wengine wanajieshimu sana na wanaijua dunia ilivyochafuka na hata kama wapo huwa ni hulka yake toka utotoni hawezi kuiacha hata afanyeje.
 
Ungerekebisha wazo lako kwa kuweka neno BAADHI YA WANAWAKE ingekuwa vizuri zaidi.
 
kweli binafsi nimewahi sikia sana

sasa kwa taarifa zenu wengi wamesoma
kwa pesa zao, wamesoma kwa sababu zao
wanaume wengi ( si wote) wamezoea kukandamiza
wanawake sasa wakimwona aliesoma wanajaribu kukaa mbali
ndo mahali hizo story za ni malaya sijui hawana adabu , wanaringa
ndo mtakoma trip hii.. kama we ni mwanume haswa acha umbea na
chukua challenge.. hatuana dogo dogo na muacha kutu judge
ju ju tu ... jueni watu kabla hamja fungua midimo. ni aibu mtu anajiita
mwanaume lakini anaongea kama nilivyokuwa nakaanga mihigo kijiweni..

ni hayo tu
asanteni..
 
hahaha! Afro wangu umenikosha sana,naamini ujumbe ataupata..sina la kuongeza labda tu nimtakie wakati mwema. :nod:
 
Mamba AD. PuNGUZA MUNKARI
 
hahaha! Afro wangu umenikosha sana,naamini ujumbe ataupata..sina la kuongeza labda tu nimtakie wakati mwema. :nod:

hahahahah lol
nadhani kaupata sante
mama wa busara Vipi asante
sana kwa maombi naoana umezuia
mwisho wa dunia hahahahhahaha lol
AMEN
 
U cant go against nature..mwanamke anapokua na power lazima atataka kuonesha uwezo alionao kwa sababu always wanaume ndio wanakuwa na uwezo huo! sasa hapo ndio kasheshe inapoanzia! lakini ukikutana na mwanamke aliyesoma na kupata vitu vyote halafu anajitambua yeye kama mwanamke katika jamii..mtaishi nae vizuri sana,
 
Hivi ni kwa nini wanawake waliopata nafasi ya kupata elimu zaidi wengi wao wanaongoza kuwa na tabia zisizo nzuri za kimaadili, kama vile mavazi yasiyo ya kimaadili, umalaya. Hatimaye baadhi ya wanaume wameshasema hawataweza kuoa wanawake waliosoma elimu za vyuo vikuu kutokana na wengi wao kuwa na tabia mbaya wanapokuwa katika jamii. Je jf mwasemaje juu ya hilo?
waambie bana! wamezowea, ndo zao hizo
 
Back
Top Bottom