Hivi kwanini yanatokea haya?

Hivi kwanini yanatokea haya?

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,286
Reaction score
13,460
Huwa nakaa na kujiuliza kwanini sku hii migogoro haiishi? Japokuwa naona watu walio wengi wanaume kwa wanawake wanajitahid kuwa wabunifu katka suala zma la mapenz lakin usaliti, migogoro na ndoa nyingi kuvunjika ikiwa ni pamoja na kutelekezana kwa wapenzi vimekuwa vikitokea mara kwa mara tofauti na wazee wetu ambao wao mambo haya ya manjonjo kitandan hayakuwepo..... Huwa najiuliza sana nakosa majibu: (1) Ubunifu na uigizaji wa mapenz ya wazungu ndio unasababisha haya yatokee? (2) Labda tuiige ile stail ya wazee wetu ya kutongozewa mke na kutofanya mapenz mpaka kwenye ndoa? (3) Je, Wazee wetu walikuwa wanayajua sana mapenz kuliko sisi (4) Haya malalamiko tutayamaliza vp? Au kuja kwa elimu ya mapenz ndo imekuwa chanzo cha migogoro? Wazee wetu hawakuwa na mambo kama hayo lakn hapakuwa na migogoro ya usaliti kama siku hzi! Hebu jaman nifafanulien hapa!
 
Hata zamani elimu ya mapenzi na mahusiano ilikuwepo,vijana wa kiume walipelekwa jando na wa kike walichezwa ngoma au unyago...

Migogoro ilikuwepo kama kawaida lakini tulifunzwa namna ya kustahimili na kuvumilia...

Labda kilichobadilika sasa ni namna gani ya kutanzua migogoro inayozikabili ndoa na wanandoa...
 
Umejuaje kama wazee hawakuwa na manjonjo kitandani?
Wale makungwi walikua na kazi gani?
 
ukiachilia mbali namna ya kutanzua hyo migogoro sk hzi watu hawaeleweki utakuta mwanamke ana mme wake kabisa lakn anakuwa na wanaume nje zaid ya wawili tena zaman mambo hayo hayakuwepo
 
Umejuaje kama wazee hawakuwa na manjonjo kitandani?
Wale makungwi walikua na kazi gani?

mkuu nasemea kwamfano kuzama chumvin au kuchukua mike na kushuka mistar wakiamin et ukimfanyia hvyo mpenz wako hawez kukuacha pamoja na yote hayo usalt ndo unazid!
 
chanzo kikuu cha migogoro ni kukosa ustahimilivu, katika mahusiano, maana ukiwa mvumilivu unabeba mambo mengi mno ambayo yanaepusha kutokuelewana na usaliti.
 
kwa mtazamo wangu, kufanya mapenzi kabla ya ndoa na onja onja nyingi kabla ya kutulia na mwenza katika ndoa ndio inayoibua na kuzalisha usaliti. Kama umezoea kuonja onja na kupata ladha tofauti, ukiona unaoa mmoja tu ambae nae ana ladha yake. Once in while utakuwa unakumbuka tu ladha nyingine na hapo ndo usaliti unapoanzia.

Cha pili ninachokiona mimi ni kuendekeza tamaa za kimwili, kiasi ya kwamba akili zetu zimetawaliwa sana na mambo ya kingono kuliko maendeleo. Nina wasi na mustakbali wa taifa letu miaka ijayo utakuwaje.

Tatu, kuwa exposed sana na mambo ya ngono. Watu wanajifunza ngono siku hizi wakiwa wadogo sana na wanayashuhudia yatokeayo katika jamii, watu kusalitiana, umalaya, n.k, hivyo wanavyokuwa wanaviona hivyo vitu kuwa ni vya kawaida katika jamii, hence they also do

NB: ndoa ina mambo mengi mabaya na mazuri, kikubwa kwa wanandoa wanachoweza kufanya ili ndoa idumu ni kuishi kwa amani, furaha na upendo, kulipo na tofauti kutafuta solution ambayo kila mmoja atairidhia. Uvumilivu nao ni nguzo muhimu sana ya ndoa

Nawasilisha
 
Umejuaje kama wazee hawakuwa na manjonjo kitandani?
Wale makungwi walikua na kazi gani?

Signature yako imenifurahisha kwa kifaransa tunasema " Loin des yieux loin de coeur"
 
nakubaliana na ww kwa 100%
 
siamini kama zamani waliluwa hawapachuani kabla ya ndoa, siamin kama hawakuwa na manjonjo ila naamin uwazi katka tuyafanyayo umekuwa mkubwa zaid hvyo kuyaweka meng hadharan na kuachia fursa ya wengi kujaribu
 
mkuu nasemea kwamfano kuzama chumvin au kuchukua mike na kushuka mistar wakiamin et ukimfanyia hvyo mpenz wako hawez kukuacha pamoja na yote hayo usalt ndo unazid!

Hayo ya kupeana mike sina uhakika!
But kuzama chumvini walikua wanazama fresh tu baadhi yao kama sasa wanavyofanya!
Haya nimepata wapi?!!
Kuna bibi flani (ni marehumu kwa sasa) alikuwa anakunya pombe!
One day aliropoka hivi: "...vijana wa sasa hawajui mapenzi.......
Enzi zetu tulisisitizwa usafi wa mbunye ili mme akija alambelambe!!!!!!
Na mimi nilikua siruhusu mtu kuchomeka dudu yake kabla ya kuninyonya kimbene.....!!!"
chezea walevi weyeeeeee!
Sikumskia akizungumzia mike a.k.a koni!!!!
 
Hahahahahahaaaa!
Na wewe hako kaavatar kako nakapenda kweli!
Ungekua hivyo ningekupa mwanangu bureee! Nadhani angekua peke yake! Hahahahahaaaaa!

Signature yako imenifurahisha kwa kifaransa tunasema " Loin des yieux loin de coeur"
 
Hayo ya kupeana mike sina uhakika!
But kuzama chumvini walikua wanazama fresh tu baadhi yao kama sasa wanavyofanya!
Haya nimepata wapi?!!
Kuna bibi flani (ni marehumu kwa sasa) alikuwa anakunya pombe!
One day aliropoka hivi: "...vijana wa sasa hawajui mapenzi.......
Enzi zetu tulisisitizwa usafi wa mbunye ili mme akija alambelambe!!!!!!
Na mimi nilikua siruhusu mtu kuchomeka dudu yake kabla ya kuninyonya kimbene.....!!!"
chezea walevi weyeeeeee!
Sikumskia akizungumzia mike a.k.a koni!!!!

hahahaaa! Duuu! Simchezo
 
Back
Top Bottom