Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Kwa sababu ni wanafiki na walaghai. Leo wanakuambia fulani fisadi hasafishiki na kesho wanakuambia ni malaika tulikosea!! Pia vyeo hupeana kwa ukanda na ukabila na huruhusiwi kuutamani uenyekiti ni kosa kubwa utafukuzwa Chama na kuitwa msaliti!! Ndio maana wenye kujitambua hawakipendi kabisa hicho Chama!!Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
MTU atakemuunga mkono Lowasa akapimwe akili (Msigwa), je unataka jingine?Wewe sio watu. Nitajie tusi Mona tu ulilosikia na roho yangu itapona.
Wewe utakuwa kaka au Dada poaCCM walikula rambirambi za tetemeko la ardhi huko Kagera
CCM inawatesa Watanzania kwa ufisadi (wizi wa fedha) za umma
CCM ni majangili wa nchi hii
[emoji12]CCM uongozi uliyopo ni mbovu sana hasa huyu Magufuli ana roho mbaya mpaka anakera
Lakini Chadema ni chama cha wanafiki kisichojua kinasimamia wapi.
Kwa kifupi TZ mpaka sasa hakuna chama cha upinzani ambacho kina afadhari na kina misingi imara itakayo tushawishi wananchi tuwapatie nchi.
Bila hivyo tutaendelea kuipigia kura CCM mpaka tunaingia kaburini.
Ni wendawazimu wa Ki-Chadema kuhangaika cheti cha mtu mwingine wakati wewe huna hata cha mfano. Wewe ndiye Mbowe Ziro kweli.Bwana yule na Bashite
Nani haipendi?Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Watu gani unaokusudia wale misukule na vilaza wa Lumumba? Hata buku saba siku hizi hawapati wamekimbia wote.Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Ustaadh ubwabwa na mapirau toka lini akawa na Akili?!chadema ni chama cha kifamilia zaidi kimeundwa zaidi ktk misingi mibovu yakikanda!! hakina dira that's why wafuasi wake huitwa nyumbu maana hawajui hata wanachokifata
USHAURI KWAKO MLETA MADA-kama wewe pia ni mwanachama wa nyumbu Tafadhali kimbia upesi sana laa sivyo huko utafundishwa kujiteka mwenyewe na kujikomboa mwenyewe
Nikuwekee matokeo halali ya ubunge jimbo la kyela , kabla mitutu ya bunduki haijatumika ?
Hili tatizo kubwa Chadema mnalo.... Linaitwa u much know... Mnadhani mnajua kila kitu na watu wakipinga sera zenu kwa hoja ghafla mnaanza kuwaita ni CCM. Matokeo yake hamshindi kwasababu hamsikilizi ushauri.Umekosea.Ungejiuliza hivi. "Hivi kwa nini mimi siipendi chadema" Ungeeleweka vema.
Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Wagonjwa wa akili wengi siku hizi!Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.