Wacha waje wajuzi.....
Mashost ni kama wakikutana humu JF wanajazana ujinga tu.Eti inakuwaje wanawake wenye vigenge vya mashoga ndio wanaoongoza kwa tabia zisizo rafiki kwenye mahusiano yani tamaa na wao kupenda makuu zaidi kuliko wale ambao wako socially independent? Yani kwa mahusiano niliopitia na mengi nayoyaona kudumu bila mikiki ni yale ambayo mwanamke anakuwa katulia na maisha yake tu hana tabia za ushoga ila wale ambao wapo na marafiki rundo ndio mahusiano yao yanayumbaga.
Hebu fanyeni kushea uzoefu wadau.
Haha humu hatujazani ujinga pacha acha kutuoneaMashost ni kama wakikutana humu JF wanajazana ujinga tu.
Nisamehe kwa kujumuisha.Haha humu hatujazani ujinga pacha acha kutuonea
Mkuu nimecheka sana 😀😀😀😀Mwanamke akisimama mwenyewe na akasikilizana na mumewe mambo yanaenda poa.
Lakn akiwa na marafiki pembeni..... Ushauri mbaya ndo unaanzia hapo.....
Utasikia "unambembeleza huyo ni mama yako?".
"Unakomaa na biashara za mwanaume....tafuta zako hizo ni zake".
"Shoga nimedanga nimepata hiki hapa nawe jiongeze huyo sio mama yako...."
"Hata ukiachika bado inalipa asikusumhue huyo....."
Ni tabu tupu
Ndege wafananao huruka pamoja hapa ndipo kwenye point yenyewe yaani akiona mwanamke aliye nae ana mashosti wa hovyo basi asitafute lawama ajue na wake ni mmoja wapo anapenda tabia hizo.Tayari ushasema mashosti! Wanakutana wenye tabia tofauti halafu kila mmoja anaiga tabia ya mwenzake!
Sasa kama huo ushosti ni wa watu wanne imagine mtu mmoja kuwa na tabia za watu wa nne!
N:B, Ndege wafananao huruka pamoja!
Mashost ni kama wakikutana humu JF wanajazana ujinga tu.
Mkuu umeolewaaNi kwa sababu wanapokuwa kwenye vigenge wanakutana kila mtu na tabia zake, interest zake na hata malezi tofauti kwa hiyo ni rahisi kuigana na kushauriana mema na mabaya
Nimechumbiwa na mtoa madaMkuu umeolewaa
Mwanamke akisimama mwenyewe na akasikilizana na mumewe mambo yanaenda poa.
Lakn akiwa na marafiki pembeni..... Ushauri mbaya ndo unaanzia hapo.....
Utasikia "unambembeleza huyo ni mama yako?".
"Unakomaa na biashara za mwanaume....tafuta zako hizo ni zake".
"Shoga nimedanga nimepata hiki hapa nawe jiongeze huyo sio mama yako...."
"Hata ukiachika bado inalipa asikusumhue huyo....."
Ni tabu tupu