Hivi kwanini wanawake wengi wanapenda Wasukuma?

Oh yeah....pande za Kizumbi, Nhelegani, Bunamhala, Ng'wamapalala, Dutwa, Gamboshi.....Yaani huko ni kunywa mabhele na kula michembe tu! Raha sana kwa kweli!
Njoo sasa mwadui, maganzo, mwakitolyo yee ng`ana duhu
 
Sina la kunipeleka mwenzangu, nasubiri siku ukienda ukweni unipe mwaliko ndugu yako....

punguza kiherehere, utakuwa huendi ujue ohooo...

halafu nimegundua Wasukuma wameshakuwa kama 'endangered species'...lol!!
 
Aiii kumbe anael mwenyewe msukuma!!! ndio maana anajifagilia loh ningeingia mkenge bureee! kwangu mie kabila si hoja, uzuri wa sura wala tabia kwangu sio sifa, mie kwangu mwanamume pochi bwana, maana kwa pochi lake anaweza akanunua chochote hata akili yako pia, matokeo yake hata kama akiwa na tabia mbaya pia utaiona nzuri ! akiwa na chongo utaona kengeza! kama haina nguvu atainunulia viagra alimradi tu vibweka vya pesa hivyo!

wewe kumbe chagunduoa money first , sex second ,no marrieage ,no love
 
mimi ukitaka kunimaliza weka mwanaume wa kichaga,msukuma,mgita na mkurya hao viumbe bwana mi kwishney kabisa, kwanza sura zao tu ni za kiume.loh


Smile,

Ntakutafuta mapema sana kadri iwezekanavyo. 2012 utakuwa ni mwaka wako wa kula raha kwa kwenda mbele!
 
Annael hebu waambie hao wanawake wanaopenda wasukuma wanitafute tena haraka sana, na kama wewe ni miongoni mwao ni PM.
 
Annael hebu waambie hao wanawake wanaopenda wasukuma wanitafute tena haraka sana, na kama wewe ni miongoni mwao ni PM.
Aaa bwana mimi Ndume. Ila yupo smile amesema huwa anakufa sana mfuatilie
 
Aaa bwana mimi Ndume. Ila yupo smile amesema huwa anakufa sana mfuatilie


Nimeshafanya booking kwa Smile usiniharibie mkuu.

Btw, tangu mwanzo nikadhani wewe ni she, sasa hapa ndo nimestuka kumbe ni he!?
Halafu kuna mtu anaitwa Anael nilisoma nae sekondari, isije kuwa ndo wewe?
 
Nimeshafanya booking kwa Smile usiniharibie mkuu.

Btw, tangu mwanzo nikadhani wewe ni she, sasa hapa ndo nimestuka kumbe ni he!?
Halafu kuna mtu anaitwa Anael nilisoma nae sekondari, isije kuwa ndo wewe?
Umesoma nae wapi bwana?
 
Nimesoma sehemu sijui kama inaweza kuwa ni sababu mojawapo. Kabila la Kisumkuma ni mifano ya makabila ambayo wanawake wakiteleza na kuzaa nje ya ndoa, wazee wa Kisukuma walikuwa wastaarabu sana kwa kuwa walikuwa wakiwafichia siri wake zao hususan kwa kuwa walikuwa na msemo unaofanana na wa ndege kula mbegu za pera na kinyesi chenye mbegu kuangukia kwenye shamba la jirani na kuokota. “Nimilija atina ngunda” maana yake “anayelima kibarua kwa mtu siyo mmiliki washamba”.

Umenikumbusha mbali sana...

Ni adimu sana kwa mwanamke aliyeolewa na msukuma kuzaa nje ya ndoa.
Mara nyingi wanaume ndio uzaa nje ya ndoa..na inaonekana kawaida tu (ila hizi dini ndio zimebadilisha kidogo mambo hayo)
 
QUOTE=Maarifa;3171773]Wakurya je hawapendwi???[/QUOTE]
Mimi ni mkurya, ngumi mkononi rungu kiunoni lakini wananawake hawaachi kuniandama hasa pale ninapokuwa nimeuza ving'ombe vyangu mnadani. Labda hunikosea wakidhani ni msukuma
 
Wanaume wakisukuma wanajua kumthamanisha mwanamke bwana asikwambie mtu pia wakishaoa hawana ile vunja vunja ndoa wavumilivu kwenye matatizo ,na pia hawana ubaguzi kwa ndugu kama wahaya na wachaga
wacha kugenerelaizi wewe wahaya na wachaga unawafahamu wote?
 
Back
Top Bottom