Hivi kwanini wanawake wengi wanapenda Wasukuma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwanini wanawake wengi wanapenda Wasukuma?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Annael, Jan 20, 2012.

 1. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,369
  Likes Received: 10,459
  Trophy Points: 280
  Nimekutana na wanawake wengi, na wanasema wanapenda sana wanaume wa kisukuma sijajua kwann wanapenda?
   
 2. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Miwivu isiyo na mpango nani anaitaka?
   
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  mmmmmhhhhhhh!!!!!!!!!!
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Khaaaaaaa! Sio wengi asee, uongo kabisa.
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hao wanawake uliokutana nao wewe ni wa wapi....?
  ninavyojua mimi.....wanawake wengi tunapenda wanaume wa kisandawe.......

   
 6. M

  MUMY A JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SI KWELI.....mbona mi napenda wanaume wagogo na wamakonde sana
   
 7. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanaume wa kisukumu ni yes-men! Hawakatai chochote kutoka kwa wapenzi wao. Chochote anachokisema mwanamke ni lazima atakifanya. Kwa lugha nyingine ni kwamba, hawana msimamo. That's all what women want!!
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Ni wazi humzungumzii huyu Msukuma chapa ya ng'ombe originale moja kwa moja toka Ikungulyabashashi Ntuzuland!
   
 9. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi mbona mmakonde na wananikimbilia wanawake kibao hadi nalala mbele
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni huyo huyo anaemzungumzia.
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Ushawahi kufika Ikungu wewe?
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  huwezi kusema wanawapenda kwa maana ya kuwa wana fall in love

  wanawapenda kwa maana ya ku prefer.....hata kama sio love inahusika..

  wasukuma ni wapole,wanapenda sifa ya matumizi
  ni rahisi kudanganywa.....

  ni every woman's dream kupata watu wa aina hiyo

  hasa kama ni wanawake wanaopenda 'kumuweka mwanaume kiganjani'.....
   
 13. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,369
  Likes Received: 10,459
  Trophy Points: 280
  Nasikia akina dada husema Wasukuma wanajua sana mapenzi, ukiwanaye kitandani anafanya kweli.
  Pia wanajua sana kujari.
   
 14. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,369
  Likes Received: 10,459
  Trophy Points: 280
  Unauhakika na hayo unayosema au umeandika kujifurahisha tu?
   
 15. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ila wana wivu hao mmh, utamuweka kiganjani lkn utakoma anakufuatilia weeee mmh.
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Jan 20, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Tunakoelekea tutaanza kuandamwa kama wadada wa Kichaga wanavyoandamwa humu kila siku.

  Nitajie Wasukuma wanaopenda sifa ya matumizi na walio warahisi kudanganywa.
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  sasa wewe mwenye uhakika umekuja kuuliza hapa ili iweje????
   
 18. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,369
  Likes Received: 10,459
  Trophy Points: 280
  Tena akina wanawake utawasikia kwenye pale Mwenge wakioshwa miguu wakisema. "Jamani sijawahi kukutana na mwanaume anayejua kutoa raha kwa mwanaume kamaniliye kutana naye jana" wapili atasema "atakuwa Msukuma huyo"
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  nina uhakika by now
  you are old enough na smart enough
  kuelewa mapokeo ni nini..
  sio lazima iwe 100 percent accurate....
  ni mapokeo.....labda ilikuwa true 20 au 15 years ago,labda still ipo...
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tatizo watu wengine mmezoa kwamba mwanaume kua na uso wa mbuzi ndio uanaume. Fungua akili, ruhusu elimu, pokea mabadiliko, kubali ukweli.
   
Loading...