Hivi kwanini Wanawake wa kiislamu ndiyo wanaongoza kuolewa?

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,728
Reaction score
4,075
Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
 
Hao ni viburudisho vya wanaume.... unaoa asubuhi, jioni unaacha na dini inakuruhusu...... wanaume wa kiislamu wana mahali pa kuchezea ndiyo maana hata harusi, so called harusi huwa ni maandazi 2 au 3 na chai ya rangi na wali na maharage. harusi imeisha....

Zaid, unakutwa unazini na binti wa kiislamu. Chapchap hapo hapo unaviziwa, na shekh na mkeka/mswala na kuruaini unaozshwa instantly! Kwanini wasiwe wengi?.... AU NASEMA UONGO?
 
Sasa kama wanakubali kushare dudu ya mwanaume mmoja anayewalaza kwenye nyumba moja kwa nini wasionekane kuolewa sana. Mwanaume mmoja unakuta anao hadi wanne wanashare kiroho safi.
Kwa kweli wana roho safi sana hata mimi natamani nioe wa upande ule ili niwe nao wanne.
 
Sasa si bora wao wanaojua kabisa kuwa wana share kuliko hao unaosema hawashei ila kila corner kuna michepuko.

Ndoa inakuwa kama kifungo cha maisha, haivunjiki.
 
Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
Kwasababu wanatoa mikundu hovyo
 
Hao ni viburudisho vya wanaume.... unaoa asubuhi, jioni unaacha na dini inakuruhusu...... wanaume wa kiislamu wana mahali pa kuchezea ndiyo maana hata harusi, so called harusi huwa ni maandazi 2 au 3 na chai ya rangi na wali na maharage. harusi imeisha....
Hii imekaa poa sana kwakweli.. Ndoa ni bora kuliko harusi maana ivyo ni vitu viwili tofauti
 
Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
Sasa waislam wanaoa au wanajichukulia tu. Talaka kwao ni kama karatas la choon
 
Kuna wadada wawili mmoja mpaka sasa hii ndoa aliyonayo ni ya nne, mwingine mwaka 2000 aliolewa 22 akaachika,23 mwishoni akaolewa,hakukaa hata miezi sita,juzi ananiletea kadi eti anaolewa,nikabaki nacheka yaani ndani ya miaka mitano ndoa nne?
Hata kama kuna urahisi kiasi hicho,basi acha waolewe ila kwa waislam ndoa ni kama mvuta sigara,akimaliza haja yake anatupa kishungi,ndoa hazina heshima
 
bila shaka mtoa mada unakaa uswahilini mathalani majengo, mtaa wa makaburibi na maeneo mengine yenye uswahili so huko kuna ndo nyingi sana za hao unaowasemea. We fikiria demu ukimnunulia upaja wa kuku na maji ya kilimanjaro analala kabisa kwako na kwao wanasema kapata bwana mwenye pesa.
USHUHUDA
Mtaa wa jirani kuna binti alilolewa kwa mahari ya pakti ya sigara aina ya double klik
 
Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine

BASI BADILI DINI NAWE NIKUOE HARAKA KAMA BADO NI KAFIR. NATAKA NIKUOE.
 
Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
Sasa kama mtu anaolewa kila mara si utaona wanaolewa sana. Mtu mmoja anaolewa mara kumi ndo maana unaona kila siku wanaolewa.
 
Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
Kweli Mkuu nilivyokua naishi kule Zanzibar yani Wanawake wanaolewa sana, Ndiyo maana wanawake wakizanzibar wanajeuri sana kwasababu ukimpa talaka tu baada ya mwezi anaolewa tena yani ata kama umemzalisha watoto 6 bado anakua na soko la kuolewa, yani nilishangaa Mama mtu nzima anaolewa tena na hapo mwanaume aliozaa nao wapo, Tofauti na huku Tanganyika kukuta Mama mwenye watoto 7 kuolewa tena.
 
Hao ni viburudisho vya wanaume.... unaoa asubuhi, jioni unaacha na dini inakuruhusu...... wanaume wa kiislamu wana mahali pa kuchezea ndiyo maana hata harusi, so called harusi huwa ni maandazi 2 au 3 na chai ya rangi na wali na maharage. harusi imeisha....
Kiburudisho ?
Sidhani kama unajua unachoongea.
Ndoa ya kiislam inakipengele Cha kuwa na single woman , Ina kipengele Cha mkataba ni zaidi ya makubaliano. Vitu vingine muwage mkijifunza
 
Sasa kama mtu anaolewa kila mara si utaona wanaolewa sana. Mtu mmoja allowed mara kumi ndo maana unaona kila siku wanaolewa.
Kweli utakua kwa waislamu Mama mmoja Mwenye watoto 7 ila Baba zao tofauti utakuta kati ya watoto 7 watoto wawili ndiyo Baba yao mmoja.yani kule Zanzibar kila mtoto na Baba yake wakizaliwa kumi kwa mama mmoja.
 
Back
Top Bottom