Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,892
- 172,676
Hata wewe hatukupendi
ukwel kbsaUkiandika point like utapewa na wakaka
Ndo tulivyo kwa ufupi hatupendani kabisa kabisa
vizuri kwa kufungukaMi nionavyo kwa kuwa mmeshatujua basi nyie wanaume jitahidini kuwapisha wakae nadhani itasaidia na kufanya kutokupendana kwetu kusionekane. Ila kusimama saa nyingine. Mmh. [emoji40]
Pia nikwambie tu sio kwenye madaladala pekee hata makazini, mitaani, kwenye biashara yaani sehemu zilizo nyingi wanawake hatupendani kwa sababu tulio wengi tuna roho za wivu na hiyo ndio sababu kuu yaani ni kumi kwa mmoja wenye kuona mwanamke mwenzangu kafanikiwa namimi nichape kazi nimfikie tulio wengi tunawaza aharibikiwe.
Hivyo tusameheni tu saa nyingine.
soma vizuri mkuu uieleweSheria gani inasema mwanamke ndio anayetakiwa kumpisha mjamzito kwenye basi? Acha fikra dume ni wajibu wa kila mtu kumsaidia mtu yeyote asiyejiweza awe mjamzito, mzee nk bila kujali jinsia hizi fikra dume zimepitwa na wakati kitambo sana
Inakuaje chapombe aka amnadaWanawake tunaongea mno asee
Tenda tu wema wende zako yaheeee. Ngoja uzoee kubana siku moja mdada mjamzito akiwa amesimama kwenye coasta mara huyo kizunguzumgi na mara kamtapikia alokuwa kabana kajifanya kala usingizi kumbe ndo tinted zake ili asimpishe seat. Napendekeza mkaguea hali walizonazo wajawazito kabla huja funga vimacho kujifanya umelala.Yanii wamama huwezi kuta kampisha mzee au mjamzito au mgonjwa akae..!! Kamwe... Sema saa nyingne ina keraa unaweza mpisha mmama akae na ujauzito wakee au na mtoto afuu Hata Kusemaa Ahsanteee hakunaaaa na hapo.ukute mnaenda mbali sana..!! Huwa nakerekaa piaaa sana tuuu... Wanadhani sijui ni wajibu wetu kuwapishaaa... Ndo maana saa nyingne huwa najikausha... Wabibi lazima aseme ahsante...shida wamama yanii!!
Nipo nalewaaInakuaje chapombe aka amnada
Mtuvumilie tuDah.....Kingine kibaya zaidi....unapompa makavu.....yeye anamtusi mama au Dada yako ambaye ni mwanamke mwenzie[emoji87] [emoji41] [emoji13]