Yote tisa, kwenye haya matukio ya kupandisha mapepo kuna wakati hutokea anayepandisha anakuwa na fujo hatari na ana nguvu balaa unawezakuta mwanamke mmoja aliyepandisha anazuiliwa na wanaume hata wanne na mshikemshike wake si mchezo, ila yale mapepo ya kanisani huwa wastaarabu sana.