Hivi kwanini waliotuhumiwa madawa ya kulevya mbona wapo kimya?

haloo

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
569
217
Habari wanajamvi
Nadhani kichwa cha habari kinahusika hapo juu.nauliza hivi kwanini wale ambao waliotuhumiwa madawa ya kulevya na hawajapatikana na hatia ,na kuruhusiwa kurudi uraiani.mbona watu hawa wako kimya sana ilihali waliharibiwa majina yao kuna nini hapa?
 
Ukikimbizana na mwendazimu aliyekuibia nguo wote mtaonekana wendazimu
 
Back
Top Bottom