Hu Jin taoXin jin ping.
Wanajipa majina yale kwa ajili ya kurahisha kuwasiliana maana akikutajia majina yao kichina utashindwa kutamkaWakuu,
Sijui ni coincidence ila kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni kumekuwepo na wimbi la raia wenye asili ya uchina wanaotumia majina ya kikristo, mfano Alex, Michael badala yale tuliyozoea mfano ping pong xin xin na mengineyo.
Ikumbukwe kwamba wakristo huko uchina haizidi asilimia 2, dini kuu ikiwa Chinese folk religion.
Ndio kusema hiyo 2% ndio hao tunaokutana hapa??
Au idadi ya wakristo imeongezeka huko uchinani?
Au wanaficha their true identity ( naamini hili kwa asilimia kubwa)
Au wameamua kutumia majina ambayo yatakuwa rahisi kwetu kuyatumi ( inawezekana pia)
Bado nataka kujua ni kwanini wachina wengi hapa nchini wanatumia majina ya kikristo?
Karibuni.
Uko sahihi mkuu, ila hawa ninaowazungumzia hapa ni kutoka mainland.kama umechunguza wachina wa hongkong wengi wana majina ya kikristo mfano james chan,joshua wang,paulo chang etc,cause hongkong lilikuwa koloni la waingereza na wameadopt utamaduni wa kiingereza kuliko wa kichina,lakini china mainland ni ngumu mno kukuta mzawa ana jina la kizungu
mkuu hayo pia yalikuwa mawazo yangu hapo awali.Ni kweli hata mm niliwahi kufanya nao kazi cha kushangaza majina yao ni ya kawaida mfano John, Daniel, Robert nilivouliza nikaambiwa wanaficha majina yao ya asili. Ila sababu sijapewa mpaka leo.
Majina yao magumu ukikosea kutamka linaweza kuwa tusi.Ni kweli hata mm niliwahi kufanya nao kazi cha kushangaza majina yao ni ya kawaida mfano John, Daniel, Robert nilivouliza nikaambiwa wanaficha majina yao ya asili. Ila sababu sijapewa mpaka leo.
Wakuu,