Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,671
- 40,912
Wakuu,
Sijui ni coincidence ila kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni kumekuwepo na wimbi la raia wenye asili ya uchina wanaotumia majina ya kikristo, mfano Alex, Michael badala yale tuliyozoea mfano ping pong xin xin na mengineyo.
Ikumbukwe kwamba wakristo huko uchina haizidi asilimia 2, dini kuu ikiwa Chinese folk religion.
Ndio kusema hiyo 2% ndio hao tunaokutana hapa??
Au idadi ya wakristo imeongezeka huko uchinani?
Au wanaficha their true identity ( naamini hili kwa asilimia kubwa)
Au wameamua kutumia majina ambayo yatakuwa rahisi kwetu kuyatumi ( inawezekana pia)
Bado nataka kujua ni kwanini wachina wengi hapa nchini wanatumia majina ya kikristo?
Karibuni.