Hivi kwanini wabongo choo tunakichukulia poa?

Mambo hayo ni huko kwenu mikoani, huku mjini tuna nyumba zina vyoo vingi na vyote vina space na ni visafi unaweza ukala na kulala chooni.Tembea uone
 
Mkuu labda kwenu!! Mi nilishapanga nyumba tatu tofauti magomeni hali ya vyoo kiikweli ilikuwa hairidhishi
 
Mkuu inabidi watanzania tubadilike aiseee. Hii Hali inatia aibu Sana. Maeneo mengi ya Tanzania unakuta nyumba nzuri lakini choo aibu tupu.

Pia mtanzania ukimtajia neno choo sijui anajionaje...hatuipi choo kipaumbele. Tubadilike tuache fikra potofu.
Nyumba ni choo bwana hasikwambie mtu. Maeneo kama Bagamoyo Bado baadhi ya watu wanakunya kichakani.
Tubadilike #usichukulie poanyumbanichoo#
 
Aliyeanzisha huo usemi wa "nyumba ni choo" anastahili tuzo kubwa sana coz huo usemi una nguvu sana
 
Tuache masikhara jamanii,.choo(maliwato) ni sehemu nyeti na muhimu kwa ustawi wa raia,.maliwato yako ikiwa safi aisee hata ww mwenyewe unakuwa na amani na unaweza kufanya shughuli tam-tam kwa raha/utuvu na kuimba juu...bora nisideki chumbani kwangu lakini sio maliwatoni naiheshimu sana hii sehemu,.
 
We hujafika Mwanza labda. Kuna kitu inaitwa FLYING TOILET!!!!

WANAPYUPYU KWENYE MIFUKO THEN WANARUSHAAAAAAAAAAAAAAA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom