Hivi kwanini Tanzania makatibu wakuu hawapitishwi na bunge?

Sawa. Lakini, did it really have to take the combined brainpower of your "White brain surgeon husband" and your "Masters degree from GWU" to figure this out?
 
Tatizo ni mfumo uliopo, ndiyo maana katika katiba mpya tunahitaji mfumo mpya wa kuteua baadhi ya viongozi uachwe mikononi mwa wananchi.
 
Back
Top Bottom