Kila sehemu Tanzania ina post code hadi eneo la kata unayoishi. Tumia simu yako kujua hilo. *152*00#Tanzania tumekataa kupima miji na makazi na kuacha ujenzi holela.
Bila kuwa na mipango miji katika makazi hatuta songa mbele kimaendeleo ya kijamii na kiuchumi.
Mfano,Miji ikiwa imejengwa kwa kufuata ramani ya mji inakuwa rahisi kusambaza huduma za maji,umeme, kuwezesha ardhi kuwa dhamana ya kukopea benki.
Usichangae kwa makazi holela inakuwa ngumu kutengeneza anuani za mitaa"postal code"
Tatizo viongozi wanajua umuhimu wa kuwa na upimaji, lakini wameacha ujenzi wa makazi holela kwa sababu wananchi ni " wapiga kura",yaani kwa mitazamo hii tutachelewa sana.
Nitajie post code ya Buza kwa MpalangeKila sehemu Tanzania ina post code hadi eneo la kata unayoishi. Tumia simu yako kujua hilo. *152*00#
Tatizo lako hausikilizi taarifa za habari na haufuatilii matangazo yanayotolewa na serikali. Wakati mchakato wa Post Code unaanzishwa namba za nyumba zote zilibadilishwa na mitaa iliwekwa majina pia isiyokuwa na majina wananchi tuliombwa tupeleke majina tunayotaka ya mitaa yetu.Wakuu hivi kwanini Tanzania hatunaga anuani za uhakika za miji yetu na majumbani mwetu zaidi ya namba za simu tu?
hivi serikali haioni kama inatucheleweshea maendeleo na kutupa ugumu wa kufanya biashara kimataifa?
wanatuzidi hadi Uganda jamani..kama nchi ifike kipindi tubadilike,kununua kitu mtandaoni Tanzania unatumia nguvu nyingi sana,lazima uwe mjanja mjanja sana,kinyume na hapo utaambulia kucheza na bidhaa za kichaga tu,smh!
Binafsi sijaelewaTatizo lako hausikilizi taarifa za habari na haufuatilii matangazo yanayotolewa na serikali. Wakati mchakato wa Post Code unaanzishwa namba za nyumba zote zilibadilishwa na mitaa iliwekwa majina pia isiyokuwa na majina wananchi tuliombwa tupeleke majina tunayotaka ya mitaa yetu, bahati mbaya hatukujali hivyo tumebaki na mitaa isiyo na majina! Bila jina la mtaa Post Code haifanyi kazi, na mbaya zaidi mitaa iliyowekwa majina watu waling'oa vibao. Nakushauri kabla ya kuweka Post jitahidi kupeleleza kuhusu unachotaka kuandika.
Hautaelewa kwa sababu haukutaka kufuatilia matangazo ya TCRA, TCRA ilitoa matangazo na barua kwa wamiliki wa majengo kushiriki mchakato wa kuboresha mitaa kwa kushauri majina ya mitaa yao, wapo walioshiriki lakini wengi hatukutaka kushiriki, sasa nani alaumiwe!Binafsi sijaelewa
[emoji848][emoji848][emoji848] hii habari mpya kwangu.Hautaelewa kwa sababu haukutaka kufuatilia matangazo ya TCRA, TCRA ilitoa matangazo na barua kwa wamiliki wa majengo kushiriki mchakato wa kuboresha mitaa kwa kushauri majina ya mitaa yao, wapo walioshiriki lakini wengi hatukutaka kushiriki, sasa nani alaumiwe!
Sasa hapo ni Buza. Yeye anataka "Kwa Mpalange"
Hata kuboresha huduma za afya, zahanati zikiwa mtaani au kwenye kitongoji zitasaidia wagonjwa wenye magonjwa sugu kwenda hospitali kubwa. Wanaweza kuhudumiwa katika zahanati kwa dawa za marudio.Tanzania tumekataa kupima miji na makazi na kuacha ujenzi holela.
Bila kuwa na mipango miji katika makazi hatuta songa mbele kimaendeleo ya kijamii na kiuchumi.
Mfano,Miji ikiwa imejengwa kwa kufuata ramani ya mji inakuwa rahisi kusambaza huduma za maji,umeme, kuwezesha ardhi kuwa dhamana ya kukopea benki.
Usichangae kwa makazi holela inakuwa ngumu kutengeneza anuani za mitaa"postal code"
Tatizo viongozi wanajua umuhimu wa kuwa na upimaji, lakini wameacha ujenzi wa makazi holela kwa sababu wananchi ni " wapiga kura",yaani kwa mitazamo hii tutachelewa sana.
Tumia simu yako. Nani akutajie sasaNitajie post code ya Buza kwa Mpalange
Zoezi hili linatakiwa kuwa endelevuHautaelewa kwa sababu haukutaka kufuatilia matangazo ya TCRA, TCRA ilitoa matangazo na barua kwa wamiliki wa majengo kushiriki mchakato wa kuboresha mitaa kwa kushauri majina ya mitaa yao, wapo walioshiriki lakini wengi hatukutaka kushiriki, sasa nani alaumiwe!
Bado lipo, hakuna aliyesema limesitishwa, maadamu nyumba zinajengwa nalo linaendelea.Zoezi hili linatakiwa kuwa endelevu
Kwa Mpalange sio mtaa, ni kituo cha daladala kilicho ndani ya Mtaa wa buza, Kata ya Buza. Kwa hiyo hapo Kwa Mpalange anatumia msimbo wa posta huo wa 15125Sasa hapo ni Buza. Yeye anataka "Kwa Mpalange"