Hivi Kwanini Tanga, Pwani Dodoma, Morogoro na Iringa wanaipenda sana CCM

wanaipigia kura ccm wameshakataa tamaa za maisha hawana akili timamu haiwezekani mtu una akili timamu kashfa zote za wizi za pesa za umma mpaka hospitalini hakuna dawa kwa sababu watu wachache wameiba pesa za umma bado unawapa wezi kura huu ni upumbavu.
 
Ni Iringa mjini tu lakini majimbo mengine yote yaliyobaki na yale yaliyokuwa mkoa huo kabla mkoa wa Njombe haujaundwa, yote hawajitambui!!! Nasikitika sana

Hata hivyo Iringa mjini ni kwakuwa mgombea ambaye alisimama kupitia CCM sio yule ambaye wanaCCM walimtaka wenye chama wakamuweka yule mama waliomtaka na hatimaye wapiga kura wakawa na hasira wakapigia kura CHADEMA.
 
Juzi nilimuona Kinana ana umati mkubwa sana kule Tanga

Sasa hawa UKAWA wako wapi?

Naona Mnashangilia Umati Wa Wa Watu Waliosombwa Na Maloli Kutoka Korogwe Na Charinze?Kinana Hapo Alipo Mngekua Mnakagua Suluari Yake Ameloa,moto Wa Ukawa Sio Mchezo,
 
Huna hata aibu liangalie li-CCM yaani hapo ndo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia.
Ndugu,

Kwani wewe una aibu?

Kama uwezo wangu wa kufikiri umeufahamu, kwa nini usilete hoja mbadala ili wanaJf pia wafahamu pia uwezo wako katika mantiki ya hoja?
 
Ulietoa mada nadhani huijui Iringa vizuri, Iringa ni kati ya maeneo ya kwanza Tanzania kusimamisha mpinzani, katika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi 1995 iringa kwa mara ya kwanza walimchagua Mwakibasa wa NCCR mageuzi, kwenye uchaguzi wa 2010 wakamchagua Msigwa wa CHADEMA hii yote ni kuonyesha kuichukia CCM, uchaguzi wa serikaki za mitaa UKAWA iringa wamechukua mitaa 67 toka mtaa mmoja 2009 hii yote ni kuonyesha kuichukia CCM. Nawewe uliyesema elimu na kipato ni duni ngoja nikupe taarifa yako Iringa kila mwaka lazima iingie top ten katika matokeo ya shule za msingi na kila mwaka lazima iingize top ten shule za sekondari mfano matokeo ya kidato cha sita mwaka jana best school ni Igowole toka wilaya ya Mufindi mkoa Iringa, tena aitoshi ikatoa shule ya 10 kawawa, kwenye pato la taifa Iringa ni kati ya mikoa inayofanya vizuri. Maoni yangu ni kwamba kabla ya kupost ni lazima ufanye ichunguzi sio kukurupuka
Ndugu,

Huhitaji hata kumwambia anakurupuka kwa sababu hafahamu hata maana ya kukurupuka katika ujenzi wa hoja zenye mantiki.

Hakuna kitu kibaya kama mtu kudhani anafahamu wakati hafahamu.

Msamehe tu!
 
Ni Iringa mjini tu lakini majimbo mengine yote yaliyobaki na yale yaliyokuwa mkoa huo kabla mkoa wa Njombe haujaundwa, yote hawajitambui!!! Nasikitika sana
Kwa kukusaidia, CCM imeshinda Iringa mjini mitaa 130 kati ya mitaa 192
 
Iringa itoe.hapa weka dar uswahilin.pwani.dodom.lindi.mtwra.tanga.tabora.ni fulu nyuma.dar upinzani unapata kura toka kwa wasomi na walohamia mjin.wamewasukuma wenyeji nao wanasogea na ccm yao hahaa
 
Juzi nilimuona Kinana ana umati mkubwa sana kule Tanga

Sasa hawa UKAWA wako wapi?


sidhani kama ulikuwa tanga mjini maana hungekosa kutaja kuwa kuliandaliwa tumbuizo la taarabu ya Mzee Yusuf live na hivyo kuvuta watu wengi. na pia kuna watu wengi waliletwa kwa mabasi toka vijijini, ulizia kwa ndugu yako yeyote aliyekuwapo

pia tanga ni moja ya eneo ambalo upinzani (CUF) walipata viti vingi kwenye uchaguzi wa mitaa uliopita
 
Mikoa uliyoitaja inasumbuliwa namambo yafuatayo: ujinga, umasikini na uzembe. Kwa hizo zababu ccm imeweza kujifanyia makolon yake kazi yao ni kunywa kahawa na kuombaomba kitu ambacho ccm inawatumia kama mtaji hawa ni Tanga na Dodoma kwa upande wa moro na iringa kwa ss sio makolon ya ccm tena mkuu
 
Tetesi!Kunamtu Mmoja Anaitwa Defisoni Mhema Huyu Mtu Namfahamu Vizuri Nauwezo Wake Wa Kiutendaji,alikua Mwalim Akaja akapewa Uafisa Elimu Na Mkurugenzi Kwa Sababu Kaka Yake Aliekua Anaitwa Titus Mhema Alikua Anafanya Kazi Njombe Halimashauli Ya Mji Myaka Ya 1998,defison Akawa Kata Ya Lupembe Tena Akahamishwa Na Sasa Ni Afisa Wa Elimu Kata Ya Kifanya Njombe Huyu Mtu Hafai Kua Kiongozi,maana Wakati Wake Wote Wa Kazi Shule Za Kata Hizo Zimefanya Vibaya,kibaya Zaidi Ni Kwamba Huyu Jamaa Ametangaza Nia Ya Kugombea Udiwani Kata Mpya Ya Itulahumba Kupitia Ccm Ambako Amezaliwa,na Tayari Ameshaanza Kutoa Rushwa Na Amemkabidhi Mdogo Wake Anaitwa Kathibeth Mhema Kiasi Cia Tsh,3000000 Aandae Mtandao Wa Ushindi,kibaya Zaidi Ametelekeza Mke Na Family Kijijini Yeye Anakula Bata Town, Wanaitulahumba Mtakua Shamba Ra Bibi Mpaka Lini?
 
Upinzali wa kweli zidi ya mafisadi ccm ni Pemba huko hata wafanye mini mafisadi ccm hawana lao ingekua bara wako kama wapemba mafisadi wangeondakà kabla ya uchaguzi lakini bara wakipikia pilau na pombe husahau huna juta baadae kuweni kama wapemba
 
Mleta mada hajui kuwa CCM ni chama cha kitaifa?

Utaifa huo wakwenda kuwachukua watu kwenye mabasi vijiji,maramba,ngombero,duga zingibar,mwarongo pangani,lushoto,kwasunga ,handeni,muheza,bonde,mabokweni nakuwaleta tangamano mjaze uwanja n kuonekana wengi,ss wakazi wa tanga mjini wenyewe hata mpango w kusogea tulikuwa hatun,tuende kusikiliza n tukijua,chini y serekali y cham cha mafisadi ndio kilioua uchumi wa tanga watauieleza nn tuwasikilize.
 
Back
Top Bottom