Hivi kwanini Spika Ndugai anageuka mbogo sana Bunge lake linapoitwa dhaifu na kuamua kumuita mtu huyo kwenye Kamati ya maadili?

Hivi kwa mfano ujijue wewe ni dhaifu kitandani, halafu mkeo akwambie ukweli kwamba wewe ni dhaifu lazima utang'aka na kumuita majina yote ya umalaya, lakini ukikuta wewe sio dhaifu utamuonesha kwa vitendo.
 
That' very true

Ndicho ambacho alipaswa kukifanya Spika Job Ndugai......

Ushauri wa maana sana umempa Mkuu
 
Back
Top Bottom