Vincenzo Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2020
- 13,636
- 28,897
Ukienda kuomba kazi serikalini au hata sehemu zisizo za serikali lazima utangulize kwanza pesa ndo upate kazi skuiz hakuna vya bure hata kwenye majeshi lazima utoe pesa ili upate kaziHiyo pesaa unampaa nani mkuu nielekezeee na Mimi nipelekee ilii nipatee kazii
Sio kweli mkuu wengine tusingeajiliwa ndo maana watoto wa maskini tunaomba ajira zote ziendelee kupitia psrs uzuri wa utumishi ukipigwa unajua na ukionewa pia unajuaUkienda kuomba kazi serikalini au hata sehemu zisizo za serikali lazima utangulize kwanza pesa ndo upate kazi skuiz hakuna vya bure hata kwenye majeshi lazima utoe pesa ili upate kazi
Mimi sijaUkienda kuomba kazi serikalini au hata sehemu zisizo za serikali lazima utangulize kwanza pesa ndo upate kazi skuiz hakuna vya bure hata kwenye majeshi lazima utoe pesa ili upate kazi
Mimi sijakataa Mkuu ila kama hivyo niliomba kazii Tra nimeitwa kwenye usailii vpy hiyo pesa ninayo nisaidie nanii nimpelekee hiyo hela ilii anipee kaziiUkienda kuomba kazi serikalini au hata sehemu zisizo za serikali lazima utangulize kwanza pesa ndo upate kazi skuiz hakuna vya bure hata kwenye majeshi lazima utoe pesa ili upate kazi
Na utumishi pUkienda kuomba kazi serikalini au hata sehemu zisizo za serikali lazima utangulize kwanza pesa ndo upate kazi skuiz hakuna vya bure hata kwenye majeshi lazima utoe pesa ili upate kazi
Na utumishi pia niliomba kazii mkuu nasubiriaa kuitwaa kwenye usailii naomba unisaidiee nani nimpelekee pesa ili anipee kazii maake kazi naitakaaUkienda kuomba kazi serikalini au hata sehemu zisizo za serikali lazima utangulize kwanza pesa ndo upate kazi skuiz hakuna vya bure hata kwenye majeshi lazima utoe pesa ili upate kazi
Nenda kwenye ofisi ya utumishi wa uma tafuta mtu mwaminifu mfanye mipango ili upate kazi la sivyo hutopata kaziNa utumishi p
Na utumishi pia niliomba kazii mkuu nasubiriaa kuitwaa kwenye usailii naomba unisaidiee nani nimpelekee pesa ili anipee kazii maake kazi naitakaa
Hujui kitu wewSio kweli mkuu wengine tusingeajiliwa ndo maana watoto wa maskini tunaomba ajira zote ziendelee kupitia psrs uzuri wa utumishi ukipigwa unajua na ukionewa pia unajua
Huyo mtu mwaminifu utamjuaje mkuu Kwa hiyo unamaanisha hta hizo ajira za TRA hakuna atayepataa bila connection mkuuNenda kwenye ofisi ya utumishi wa uma tafuta mtu mwaminifu mfanye mipango ili upate kazi la sivyo hutopata kazi
Vpy nawezaa kukuchek wewe ukanisaidia nikapataa kazii mkuu maake nimeuchokaa ujoblessHujui kitu wew
Wapo watakaopata bila connectionsHuyo mtu mwaminifu utamjuaje mkuu Kwa hiyo unamaanisha hta hizo ajira za TRA hakuna atayepataa bila connection mkuu
Ulipita IFM?Bachelor of insurance and risk management
Ndiyo kaka watu wapo pale ongea nao vizuri upate kazi mie kuna ndugu yangu juzi kati imenitoka milioni 2 ili apate kazi jeshini asiv yupo kusini huko anakula maishaHuyo mtu mwaminifu utamjuaje mkuu Kwa hiyo unamaanisha hta hizo ajira za TRA hakuna atayepataa bila connection mkuu
Mzee..... AdjeeTRA inataka custom officers II wapatao 24 tu
Walioomba nafasi hizo 24 ni 12,332
Lazima rungu la interview liwapopoe kwanza ili kuleta fair competition platform
Kila la kheri mtakaoanza interview za TRA kesho Jumapili
🤣🤣🤣 mama anaongeza watoza ushuru hazina waongeze kibunda. Mambo ya trat na trab in Nchemba's voiceMzee..... Adjee
Nakuona na mambo ya Tax.... TRAT&TRAB
KafanyeSiogopi
chanzo ni wazazi wetu ni ngumu sana kuua hii Mentality maana mizizi inaanzia chini kabisaKwanini kila msomi anataka kuajiriwa na serikali
Yes ifmUlipita IFM?
Ningekuchek pm kaka ila pm yangu haifungukii sijuii nakupatajee privately mkuuNdiyo kaka watu wapo pale ongea nao vizuri upate kazi mie kuna ndugu yangu juzi kati imenitoka milioni 2 ili apate kazi jeshini asiv yupo kusini huko anakula maisha