Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 54,312
- 68,106
wajameni, mie nina hili dukuduku langu kwa kuwaomba ma-moderators wamkaribishe huyu bwana humu jamvini! maana mie namfurahia sana huyu ndugu ana hoja za nguvu! na ukichanganya na changamoto za humu ndani nina uhakika hii kesi yake mpya ya kudai kura za watu milioni 10 waliogoma kupiga kura October lazma atashinda! jamani mpeni mwaliko! ikiwezekana Lipumba na Seif Hamad pia....