Kakende
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 2,741
- 1,233
Wadau kuna jambo huwa najiuliza lakini nakosa majibu, inafahamika kuwa uarabuni mwananke ananyimwa haki kama ilivyo kwa baadhi ya makabila Afrika. Lakini wenzetu waarabu wamezidi, kuzuiawa kuendesha gari Saudia inafahamika.
Mimi nilidhani kuwa wanawanyima haki kama ilivyo mfumo dume, lakini wao wamezidi. Huko Misri wasichana wanapigwa au kujeruhiwa wakionekana mtaani. Jana kwenye taarifa ya habari huko Parkistan imefikia hatua imebidi wawatafutie daladala zao peke yao. Wanawake walifurahia kupatiwa daladala specho kwa yao, wanalalamika kuwa wakipanda daladala za kawaida, yaani jinsia zote, wanaume uwatukana matusi, uwaonesha chuki kama vile wao si binadamu.
Sisi tunanyanyasa wanawake lakini si kiwango cha kutotaka kuwaona hata mtaani. Jambo la kujiuliza, hivi nani huwa anawazaa Waarabu, hawa si ndiyo mama zao ambao wamewatunza tumboni na kuwalea wakiwa hawajitambui. Any way, kwanini wanachukia wanawake kiasi cha kuwaona kama mbwa?. http://www.youtube.com/watch?v=r_hGOkYUUg0