Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,200
- 2,603
Mkuu umenikumbsha ile ngoma ya young dee boma la uteteUsiposhituka watakuchuna hadi uzeeke....
Kwahiyo jamaa huyu nifalaMnatoa hela muda wa kupiga show mnalamba lips, silaha ya mwanamke ni kumkaza vizuri, atazurura kuchuna mafala jioni atakileta kwako.. Nadhani umenisoma
Kweli tupuMtu hapendwi eti kwa sababu kwao ni matajiri,pia unaonekana una majisifu kaka,kuwa na pesa,USO mzuri,mwili wa mazoezi sio kigezo kitakachokufanya upendwe na kula msichana,ni moyo wa mtu ndio huamua aende kwa yupi,huoni mtu anamuacha tajiri,na anampenda asiye na kitu,hii yote ni kwasababu ya moyo wake umemchagua huyo asiye na kitu na kumuacha huyo mwenye pesa zake.
PositiveKwahiyo jamaa huyu nifala