Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
Kumbe biriani ni chakula?š¢Kijana tunaongelea biriani chakula sio Mtuš
Kumbe biriani ni chakula?š¢Kijana tunaongelea biriani chakula sio Mtuš
Hahahahaha..hii nchi ina watu akili zao wanajua wenyeweš¢Kijana tunaongelea biriani chakula sio Mtuš
Hahahahaha we ulijuq nnKumbe biriani ni chakula?
Hiyo menu huwa inakuwa tamu sana siku ya ijumaa šššJamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
Mi nilijua Biriani ni jina la Baba yake MariamHahahahaha we ulijuq nn
Hahahahaha..umetisha sanaMi nilijua Biriani ni jina la Baba yake Mariam
Leo ijumaa uko wapi nikupitie twende kwa shishi food tukajilambeUkipata wasaa ukala chakula nilichopika,nitadesign namna unakula carrots bila kujua na unaenjoy roast.
Kuna wakorinto tu naonašSi atokee muhebrania mmoja anipe ofa ya biriani š
Wahaya zenu ndizi jamaniii tena zile laini na maharageJamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
Kijana wa ovyoMi sijawahi kula biriani ila nampenda Mariam Biriani
š nishtulie hata hao waninulie biriani la low budget bacKuna wakorinto tu naonaš
Hii offer napatajeukala chakula nilichopika,