Hii ndiyo sababu hasa tamaa na kipato kuongezeka kwa wanaume wengi....Tamaa zimetuzidi bro..
Nje ya mada..nina playlist ya ja rule hapa nikichek na hiyo avatar daaah
Hakukuwa na mapenzi Kati yenu... Mliongozwa na tamaa tuKumbuka mlivyokutana, mkatongozana mkaelewana, mkanjunju weee kwa kila style kila saa mkutanapo.
Mkapostiana kwenye mitandao wee kila upande wa dunia. Ooh you're my errything bey...Me and you forever boo...!!!
Mmeitana kila aina ya Pet names spent alot of times together on each others spot. Nobody looked perfect on you unajua except for him, or her.
All over sudden, ati jamaa kageuka mbwa? Mshenzi and all that curse is for him. Mwanamke kawa bitch nae.
Aisee huwa tunakwama wapi jamani.!?
Inakuwaje unamchoka mtu unayempenda? Inatokeaje yani maana ulimpenda kama lulu?
Watu wa kamba ndio uchokana. Ukiwa mkweli mambo yanakushinda mapema mno wala hamfikii kwenye kuitana mbwa.Hahah kwahio bora uwe mtu wa kamba 2 kamba sio.
Hiyo ni lust,..love haisemagi uongo buanaa
Mhh huyu mama nae huyu...!!If they say why why? Tell them that is human nature.
Kumbuka mlivyokutana, mkatongozana mkaelewana, mkanjunju weee kwa kila style kila saa mkutanapo.